Pole sana kwa wazazi wao.Jumla ya Wanafunzi waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022 walikuwa 534,753 lakini waliofanya Mtihani huo ni 522,217 ambapo Wasichana walikuwa 280,251 na Wavulana 241,966. Tafsiri ya haraka ni kuwa zaidi ya wanafunzi 12,000 hawakufanya Mtihani wa kumaliza Kidato cha 4.
Kiwango cha ufaulu katika Matokeo hayo kilikuwa kama ifuatavyo. Waliopata Daraja la I, II na III ni 192,348 wakati waliopata Daraja la IV ni 264,627 na Waliofeli kwa Daraja 0 ni 63,583.
Chanzo: NECTA
Hatarii mno, hiyo number ni kubwa sana.Aisee kizazi cha ku bet na tiktok, hatarii
kabisaSiyo vizuri kuwa-grade wanafunzi kuwa hawa wamepata division one na hawa zero wakati mazingira ya kujifunza, uwezo wao darasani, n.k. ni tofauti.
Huko ni kuwafanyia marketing wanaopata division one waonekane ni bora zaidi ya waliopata sifuri. Matokeo yake wengine wanakariri tu ili wapate division one badala ya kujifunza waelimike.
NECTA waachane na huu mfumo.
This is logical. Otherwise, that'd be two sets of rules!kabisa
kama walivyo acha kutangaza shule zinazo fanya vizuri waache pia kwa wanafunzi
Hatari na aibu sana pia dahHatarii mno, hiyo number ni kubwa sana.
Ukweli mtupu, karibu 80% watabaki mtaani matokeo yake ni mabaya.Kwa jinsi ilivyo serikali kutojali hao wanafunzi inaoona wamefeli wataachwa wakafilie mbali bila kuwaandalia mpango endelevu wa kuendeleza maarifa waliyoyapa kwa miaka yote minne. Serikali huwa haijiulizi hao maelfu ya hao wanafunzi huwa wanaenda wapi baada ya kufeli? Ina deal na wachache inaoona ndio wamefauli huku ikiacha nguvu kazi ipotelee kusikojulikana. Wale wanafunzi wanaofeli bado ni lulu kwa taifa wasibezwe na kudharauliwa
Kuna siku mtasema hakuna haja ya mitihani, wote wapewe vyeti vya kukanyaga darasani!Siyo vizuri kuwa-grade wanafunzi.
Kwamba; hawa wamepata division one na hawa zero wakati mazingira ya kujifunza, uwezo wao darasani, n.k. ni tofauti.
Huko ni kuwafanyia marketing wanaopata division one waonekane ni bora zaidi ya waliopata sifuri.
Matokeo yake wengine wanakariri tu ili wapate division one badala ya kujifunza waelimike.
NECTA waachane na huu mfumo.
Wengi wanaenda kuolewa na wengine kuwa dereva bodaboda na Kisha kwenda veta Ni nzurj zaid Kama wataenda vetaKwa jinsi ilivyo serikali kutojali hao wanafunzi inaoona wamefeli wataachwa wakafilie mbali bila kuwaandalia mpango endelevu wa kuendeleza maarifa waliyoyapa kwa miaka yote minne. Serikali huwa haijiulizi hao maelfu ya hao wanafunzi huwa wanaenda wapi baada ya kufeli? Ina deal na wachache inaoona ndio wamefauli huku ikiacha nguvu kazi ipotelee kusikojulikana. Wale wanafunzi wanaofeli bado ni lulu kwa taifa wasibezwe na kudharauliwa
Sisi au NECTA?Kuna siku mtasema hakuna haja ya mitihani, wote wapewe vyeti vya kukanyaga darasani!
Ukianzisha shule yakoNatamani kuanzisha shule na chuo niwe nachukua wanafunzi waliofeli. Kimsingi hakuna mwanafunzi anaeenda shuleni au chuoni kufeli. Dhana nzima ya elimu na kanuni zake hazikubaliani na mtazamo wa kufeli kwa wanafunzi
ONGEZEKO LA WAJINGAJumla ya Wanafunzi waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022 walikuwa 534,753 lakini waliofanya Mtihani huo ni 522,217 ambapo Wasichana walikuwa 280,251 na Wavulana 241,966. Tafsiri ya haraka ni kuwa zaidi ya wanafunzi 12,000 hawakufanya Mtihani wa kumaliza Kidato cha 4.
Kiwango cha ufaulu katika Matokeo hayo kilikuwa kama ifuatavyo. Waliopata Daraja la I, II na III ni 192,348 wakati waliopata Daraja la IV ni 264,627 na Waliofeli kwa Daraja 0 ni 63,583.
Chanzo: NECTA
Kuna siku tutasema hakuna kwenda shule kabisa kila aliyezaliwa tz na kujua kuongea kiswahili ameshasoma, madarasa tufugie kukuKuna siku mtasema hakuna haja ya mitihani, wote wapewe vyeti vya kukanyaga darasani!