Wataje(mtaje) rafiki zako wa humu jukwaani

Wataje(mtaje) rafiki zako wa humu jukwaani

Vipi ukoo wenu, uko vizuri yaani mnayo gari na nyumba? Haujawahi kutoa mimba na kipato cha baba yako kiko vizuri? Mimi niko vizuri ila sipendi wakwe watakao nifanya mimi DPW.
Sa si utafute tu yatima 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom