Wataje watu maarufu wenye umri mkubwa ambao bado hawajaoa

Wataje watu maarufu wenye umri mkubwa ambao bado hawajaoa

Master J aliwahi kuoa mke wa ndoa ya kanisani kabisa na wamebarikiwa mabinti wawili warembo. No wonder hawezi oana na Shaa wake mpka leo, labda kaona ndoa chungu sana ama sababu ya logistics za ndoa za kanisani
Ooh kumbe
 
50 cent,Nas,P Diddy.P Diddy anasema kuoa ni kujibebesha majukumu makubwa yasiyo ya lazima.

kwa hapa bongo ambao hawajaoa ni Jay mo,ana miaka 41,mchizi moxie,Nikki mbishi [emoji23],p funk majani,aaa!!! samahani oo!! P funk kaoa, Duke pamoja na ukauzu wote ule nae kaoa,Sugu kaoa akiwa ana miaka 47[emoji3][emoji3][emoji3].

mimi nilipanga nitaoa nikiwa na 45, lakini nimeairisha na nimeamua kutokuoa kabisa,kamwe sitooa ila nimeshazalisha watatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]

haya wataje watu wengine wenye umri mkubwa ambao bado hawajaoa.

View attachment 1276055

Kuoa is for suckers

Cha ajabu nimeoa happily,ila kuoa is a very stupid concept!

Mpaka usaini karatasi eti!
 
Master J aliwahi kuoa mke wa ndoa ya kanisani kabisa na wamebarikiwa mabinti wawili warembo. No wonder hawezi oana na Shaa wake mpka leo, labda kaona ndoa chungu sana ama sababu ya logistics za ndoa za kanisani
Ni mabinti watatu. Kwenye interview yake Maisha Magic Bongo alisema process za talaka ndo zimechelewesha yeye na Shaa kufunga ndoa.
 
Simple

Kama ni kila kitu kinafanyika bila ndoa

Watoto,sex,etc

Ndoa inafanyika kama mkataba to control both of you more so males are controlled

Ndoa is a stupid contract for economical and administrative reasons,no love reason anywhere!
ndoa ni mzigo kwa mwanaume,kwa mwanamke ni mteremko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom