Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
- Thread starter
- #161
maarufu wa muziki au siasa?Mimi maarufu sijaoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maarufu wa muziki au siasa?Mimi maarufu sijaoa.
Blaza comments zako huwa zinani furahisha sana, big up.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],bila shaka hao wanawake ukiamua unapiga anytime
Kwa hiyo huyu ameoa? Mkewe yuko wapi?
hivi hajaoa kabisa?? nkajua ndoa yake ilovunjika,maana wazazi wake walikuwa wanamlazimisha sana aoe
una watoto wangapi??Siasa.
kwa nini waliachana??Alioa zamani sana na nadhani ndio kikwazo why hafungi ndoa na Shaa maana hata kuachana na mke wa kwanza sio kwa ugomvi na huwa wanatembeleana ingawa mkewe yuko Abroad
ametishaaMaulid mnamwonea ana wanawake wa3
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Blaza comments zako huwa zinani furahisha sana, big up.
Aisee nimekataa kuwapa mimba wadad...nataka wanangu niwapate kwenye ndoa.una watoto wangapi??
umefikisha 40??Aisee nimekataa kuwapa mimba wadad...nataka wanangu niwapate kwenye ndoa.
Bado aseeumefikisha 40??
sawa sababu hapo nimeandika kidhungu 😆Mwalimu wa kiswahili aliyekufundisha shule ya msingi, alipoteza muda wake
hiyo report imetoka juzi na ametoa mwenyew lakin kwa msaada ingia wasafi media youtube na tafuta the bartender utaona mahojiano yakeMaulidi kitenge ana wake 2
tupo wengi mkuu ila sio jambo jema 😃dangote hajaoa!!?maulid kitenge naye ndani, kumbe mabachela tupo wengi hivi
ni jambo jema,hali za wanandoa mbaya wengine wanauna,ukitaka uishi maisha ya stress uzeeke mapema oatupo wengi mkuu ila sio jambo jema [emoji2]
Kumbe, nakuja PM [emoji125][emoji125][emoji125]
Ila mimi nataka nifuate nyayo za MFALME aliyebarikiwa hekima na utajiri... SuleimanMzee baba kwani bado unaunguza vidole tu?[emoji39]