Wataje watu maarufu wenye umri mkubwa ambao bado hawajaoa

Wataje watu maarufu wenye umri mkubwa ambao bado hawajaoa

hivi hajaoa kabisa?? nkajua ndoa yake ilovunjika,maana wazazi wake walikuwa wanamlazimisha sana aoe


Alioa zamani sana na nadhani ndio kikwazo why hafungi ndoa na Shaa maana hata kuachana na mke wa kwanza sio kwa ugomvi na huwa wanatembeleana ingawa mkewe yuko Abroad
 
Back
Top Bottom