Watakaopitishwa na CCM ndio watakua Wabunge, Kura ya Mwananchi kiini macho!

Watakaopitishwa na CCM ndio watakua Wabunge, Kura ya Mwananchi kiini macho!

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
1. Ndugu Mgombea, pambana (kwa fedha na kijadi-UCHAWI) upitishwe kwenye Chama.

2. Mengine ni kukamilisha ratiba tu.

3. Kura za Wazalendo aka Wanyonge ni kiini macho tu. Asanteni.
 

Attachments

  • kikwete_39505788.mp4
    1.3 MB
  • walaz_tv_51186097.mp4
    7.4 MB
1.Kwa hii shithole country (kwa mujibu wa Trump) hali itakuwa hivyo hivyo ulivyosema.

2.Na kwavile Wananchi wa hiyo nchi ni wafu wanaotembea (Kwa mujibu wa Jomo Kenyatta) hawatafanya reaction yoyote.

My take: Chadema wako sahihi kusema hakuna haja ya Wananchi kupiga kura.
 
1. Ndugu Mgombea pambana apitishwe kwenye Chama.

2. Mengine NI kukamilisha ratiba tu.

3. Kura za Wazalendo ni kiini macho tu. Asanteni
Upo sahihi. Na huu ndio utakuwa uchaguzi ambao utaongoza kwa watu kutojitokeza kupiga kura. Majambazi yaandae kura feki yajaze mabox.
 
Ndio maana sipigi kura ,NO REFORM NO ELECTION NO MY KURA
 
Back
Top Bottom