Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hahah hahah hahah Mzimu wa Kolelo Bujibuji Simba NyanaumeSasa mkuu kwa mashida tunayopitia duniani sisi waafrika ukija kufa et bado unatakiwa uje Tena utatue shida za ukoo! Unafikiri tutaitwaje sasa..? Mfano wewe tu ulikujaga na ID ukajiita gilesi watu wakakushitukia wakakuumbua! Haya tuje tukuite mtakatifu kweli! We ni mzimu tu..🤣🤣
Mtakatifu Magunia wa ChattoMbona wapo Watakatifu Waafrika - Josephine Bakhita, Karolilwanga na wenzake 22 wa Uganda, Mt. Augustino wa Hippo, n.k.
Mwenye heri akiutafakari ukuu wa Mungu kwa kupiga cocktails 🍸ya wine 🍷 na beers 🍻Mwenye Heri Nyerere!
At his age of 46 hana vyeti, kazi wala ujuzi. Kutwa kucha kushinda JF kumtukana Tundu LissuWewe mbona unaishi kwa dada yako
Pembeni naonakuna soda ya wagonjwa FantaMwenye heri akiutafakari ukuu wa Mungu kwa kupiga cocktails 🍸ya wine 🍷 na beers 🍻View attachment 2010178
Hao wakanisa..nasemea wazee wetu..au wazee wa ukoo wako wewe.Mbona wapo Watakatifu Waafrika - Josephine Bakhita, Karolilwanga na wenzake 22 wa Uganda, Mt. Augustino wa Hippo, n.k.
Vibaraka wa wazungu. Hawa ndio waliuza ndugu zao ili tu kuwafurahisha wazungukMbona wapo Watakatifu Waafrika - Josephine Bakhita, Karolilwanga na wenzake 22 wa Uganda, Mt. Augustino wa Hippo, n.k.
Vibaraka wa wazungu. Hawa ndio waliuza ndugu zao ili tu kuwafurahisha wazunguMbona wapo Watakatifu Waafrika - Josephine Bakhita, Karolilwanga na wenzake 22 wa Uganda, Mt. Augustino wa Hippo, n.k.
Kwani mtakatifu ni nani? Tuanzie hapo.Hao wakanisa..nasemea wazee wetu..au wazee wa ukoo wako wewe.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyeuza ndugu hapo. Wote walikuwa na humble beginning, kasome Historia zao.Vibaraka wa wazungu. Hawa ndio waliuza ndugu zao ili tu kuwafurahisha wazunguk
Historia zilizo andikwa na wazunguHakuna aliyeuza ndugu hapo. Wote walikuwa na humble beginning, kasome Historia zao.