Asante kisusio wangu....[emoji39][emoji39]
Fanya basi unikute pale tulipo panga....
Nakungojea hapa kwenye kona, karibu na [emoji28]Dick son...[emoji28][emoji28][/b]Nakuja son of a ....
Nikija uniambie kwanini umeacha ile picha yako pendwa umehamia kwa huu msemo wako mpya
Nimefika muda mrefu ila huonekani DicksonNakungojea hapa kwenye kona, karibu na [emoji28]Dick son...[emoji28][emoji28][/b]
Basi sogea kwa pembeni kabla ya kona ya huku utaniona kwambaaali nimevaa suruali ya njano na shati jekundu...tehteehhteeehhhhNimefika muda mrefu ila huonekani Dickson
Itel 5080Je unaingia jamii alimaarufu jf kupitia simu ya aina gani ?
1. Hauwei
2. Iphone
3. Samsung
4. Tecno
Simu Nyingine taja mwinyewe. Ukikuta mtu mnatumia simu inayofanana jitahidi muwe marafiki kadri inavyowezekana.
NB: Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako ili mpate kusaidia pale mnapopatwa na matatizo ya simu zenu.
Mimi naitumia ki itel kidogoooo cha tochi. Nmefunga na rubber band.
Nokia 5Je unaingia jamii alimaarufu jf kupitia simu ya aina gani ?
1. Hauwei
2. Iphone
3. Samsung
4. Tecno
Simu Nyingine taja mwinyewe. Ukikuta mtu mnatumia simu inayofanana jitahidi muwe marafiki kadri inavyowezekana.
NB: Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako ili mpate kusaidia pale mnapopatwa na matatizo ya simu zenu.
Mimi naitumia ki itel kidogoooo cha tochi. Nmefunga na rubber band.
Ujumbe na uzito wa thread umelala kwenye huo mstari[emoji1][emoji1]Tuwe marafiki kadri tuwezavyo!!!
Hahahahah
Ujumbe na uzito wa thread umelala kwenye huo mstari[emoji1][emoji1]
Ma tecno yote yapo hivyo. Mwisho wa siku yanaanza kujipiga yenyewe. Ukizubaa unashangaa mkeo katumiwa sms ya mchepuko wako kupitia simu yako. Tecno ni hatari kwa afya.Hili gomaa ni balaa...ubaya kadri zinavyotumika ndio ubora unapungua
Mimi naitumia itel. Ila itabidi nitafute Samsung ili tule sahani moja.Mie natumiaga samsung sijui tutaweza kuwa marafiki kadri inavyowezekana?
Kwenye uzi mwingineSisi wengine tuna comment wapi....!!??[emoji41][emoji41]
Mimi naitumia itel. Ila itabidi nitafute Samsung ili tule sahani moja.
Name it wanao watiririkeKwa hii simu yangu sito pata rafiki aiseeh