Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako

Asante kisusio wangu....[emoji39][emoji39]
Fanya basi unikute pale tulipo panga....

Nakuja son of a ....
Nikija uniambie kwanini umeacha ile picha yako pendwa umehamia kwa huu msemo wako mpya
 
Nakungojea hapa kwenye kona, karibu na [emoji28]Dick son...[emoji28][emoji28][/b]
 
Je unaingia jamii alimaarufu jf kupitia simu ya aina gani ?

1. Hauwei

2. Iphone

3. Samsung

4. Tecno

Simu Nyingine taja mwinyewe. Ukikuta mtu mnatumia simu inayofanana jitahidi muwe marafiki kadri inavyowezekana.

NB: Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako ili mpate kusaidia pale mnapopatwa na matatizo ya simu zenu.

Mimi naitumia ki itel kidogoooo cha tochi. Nmefunga na rubber band.
Itel 5080
 
Nokia 5
 
Hili gomaa ni balaa...ubaya kadri zinavyotumika ndio ubora unapungua
Ma tecno yote yapo hivyo. Mwisho wa siku yanaanza kujipiga yenyewe. Ukizubaa unashangaa mkeo katumiwa sms ya mchepuko wako kupitia simu yako. Tecno ni hatari kwa afya.
 
Back
Top Bottom