kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Watanganyika ajira zao ni kubeti ,kila mtu avutie kwako hakuna namnaWatanganyika wamepumbazwa na ununuzi wa magoli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanganyika ajira zao ni kubeti ,kila mtu avutie kwako hakuna namnaWatanganyika wamepumbazwa na ununuzi wa magoli.
Pale Watanganyika munaposema asilimia kubwa ya Wazanzibari ni Waislamu, wanaweza kuleta siasa kali, hivyo wadhibitiwe kwa kuwaweka kwenye muungano huwa munasahau? Hamulioni hili? Wazanzibari ilikuwa wapate 50% kwani muungano huu ni wa nchi mbili huru. Au na hili hilijui?Heshima sana wanajamvi.
TRA wametangaza ajira mpya 1,574.
Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao.
Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa nafasi 331 huku WATANGANYIKA MACHOGO wakitengewa 1243 tu.
Idadi ya watu TANGANYIKA ni zaidi ya 64 Million idadi ya watu ZANZIBAR ni 836,000.
Hizi hesabu nimejaribu kuzipiga,kugawanya,kuzidisha nimetoka kapa.
Huu upuuzi uliletwa na Mchengerwa katika bunge hili linalomaliza muda wake WABUNGE wetu hawakuhoji,hawakudadisi,hawakuuliza waligonga meza kama kawaida yao.
Wakati LISSU akishangaa idadi ya wabunge wa ZANZIBAR kuchanguliwa na wastani wa watu 11,000 tu wakati wabunge wa TANGANYIKA wanachaguliwa na idadi ya watu 300,000 na kuendelea angejiuliza na kudadi inakuwaje WAZANZIBAR wanatengewa nafasi 331 katika taasisi moja tu.Siku BOT wakitangaza ajira utaratibu ni huo huo.
Lissu badala ya kutazama nafasi za kisiasa pekee yake angetazama pia suala zima la ajira katika hii JMT.
Utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano
Sheria ya Utumishi wa Umma Na.8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2003 zimeweka utaratibu wa wazi wa ajira katika Utumishi wa Umma na kuondoa dosari zilizokuwepo. Serikali ya Jamhuri ya Muungano imekuwa ikitoa fursa sawa za ajira kwaWananchi wote wa Tanzania ambao wanaomba na kuwa na vigezo kama Elimu, Uzoefu na Sifa husika. Kuhusu nafasi za watumishi wa kawaida kwenye taasisi za Muungano, utaratibu wa muda wa mgao wa ajira uliokubalika kutumika ni asilimia 79 kwa Tanzania Bara na asilimia 21 kwa Tanzania Zanzibar. Utaratibu huu unatekelezwa kwa mujibu wa Waraka wa Serikali wa tarehe 10 Mei, 2013.
Tukatae huu upumbavuCCM wameifikisha nchi pabaya sana.
Kwani si mna ZRA huko 😂Heshima sana wanajamvi.

Ama kweli watanganyika wajinga mnajua hyo asilimia imetokea wapi kaulizeni butiku warioba wasira ndio wana majibuNa hizo ni takwimu za maandishi.. kiuhalisia hizo asilimia 21 ndizo za watanganyika
Ni kweli lkn inauma balaa,tugune kimya kimya tu,yatakwisha.Ubia ni 50/50,yaani hapo bado mmewaonea sana, mara nne? No hii haikubaliki, muungano ni inchi kwa inchi so mgao ni nusu kwa nusu
Siku mkiiachia Zanzibar na mambo yao ndio siku mtamaliza mzizi wa fitina,
Ila kwa sasa endeleeni kuumia tu, si mliyataka wenyewe?
Serikali ya Mapinduzi ZanzibarUnadhani hela inayokusanywa na ZRA inaendaga wapi?
kwa hiyo zanzibar kuna TRA? na wakati huo huo wazanzibar wanalalamika kwamba wakipigwa kodi kwao mzigo ukifika dsm unapigwa kodi tena? ingewezekanaje? fafanua.Kumbuka tu hao TRA hata Zanzibar wapo na wanakusanya mapato pia
Baada ya miaka mitano Hali itakuwa mbaya zaidi Tanganyika..
Mzazibar huyu ni tapeli namba moja