Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila TRA ya zanzibar hatakiwi mtanganyika kuajiriwa, wanaajiriwa wao tu, na wengi wanaoajiriwa huku bara inasemekana uwezo wao mdogo kwa sababu ya elimu.Heshima sana wanajamvi.
TRA wametangaza ajira mpya 1,574.
Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao.
Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa nafasi 331 huku WATANGANYIKA MACHOGO wakitengewa 1243 tu.
Idadi ya watu TANGANYIKA ni zaidi ya 64 Million idadi ya watu ZANZIBAR ni 836,000.
Hizi hesabu nimejaribu kuzipiga,kugawanya,kuzidisha nimetoka kapa.
Huu upuuzi uliletwa na Mchengerwa katika bunge hili linalomaliza muda wake WABUNGE wetu hawakuhoji,hawakudadisi,hawakuuliza waligonga meza kama kawaida yao.
Wakati LISSU akishangaa idadi ya wabunge wa ZANZIBAR kuchanguliwa na wastani wa watu 11,000 tu wakati wabunge wa TANGANYIKA wanachaguliwa na idadi ya watu 300,000 na kuendelea angejiuliza na kudadi inakuwaje WAZANZIBAR wanatengewa nafasi 331 katika taasisi moja tu.Siku BOT wakitangaza ajira utaratibu ni huo huo.
Lissu badala ya kutazama nafasi za kisiasa pekee yake angetazama pia suala zima la ajira katika hii JMT.
Utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano
Sheria ya Utumishi wa Umma Na.8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2003 zimeweka utaratibu wa wazi wa ajira katika Utumishi wa Umma na kuondoa dosari zilizokuwepo. Serikali ya Jamhuri ya Muungano imekuwa ikitoa fursa sawa za ajira kwaWananchi wote wa Tanzania ambao wanaomba na kuwa na vigezo kama Elimu, Uzoefu na Sifa husika. Kuhusu nafasi za watumishi wa kawaida kwenye taasisi za Muungano, utaratibu wa muda wa mgao wa ajira uliokubalika kutumika ni asilimia 79 kwa Tanzania Bara na asilimia 21 kwa Tanzania Zanzibar. Utaratibu huu unatekelezwa kwa mujibu wa Waraka wa Serikali wa tarehe 10 Mei, 2013.
Wakienda huko zenji wanalipwa mishahara kwa kodi za bara, wazenji wakifanya kazi bara mishahara inalipwa na kodi za wabara, tofauti ni hiyo tu au unataka kusema wale wabunge kutoka Zanzibar walioko Dodoma wanalipwa na serikali ya Zanzibar? na je sisi wabara wanatusaidia nini kwa kuwepo kwao pale? Ninavyojua wako pale kwa maslahi ya Zanzibar je kwanini walipwe na kodi za wa bara?Kwani Kamishna wa sasa wa Tiharahei katokea wapi kama sio ZRA? Yule siyo Mtanganyika? Fanyeni yenu ya muungano ni magumu kuliko muungano wenyewe.
Kwa nn hamkuandamana kupinga huo muungano wa ovyoHayawezi kuwa na mwisho iwapo wahusika wakuu (wanafunzi wa vyuo vikuu) wapo kimya.
Enzi zetu yangeshafanyika maandamano makubwa sana ya wanafunzi wote wa elimu ya juu.Fikiria wakati huo vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu zilikuwa chache sana.
Leo vyuo vikuu vipo bwerere wamekaa kimya wanangoja malaika wa kuwasemea.
Unaongelea usalama wa Taifa hawa ambao wamepata hiyo nafasi baada ya kujipendekeza kwa mafisadi(mawaziri,wakurugenzi n.k) ambao hao mafisadi nao pia ni machawa wakubwa wa bibi tozo? Yaani hao usalama wa Taifa ambao wako hapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya mafisadi ndio wawashurutishe mabosi wao wajiuzuru?sio Kwa ubaya ila viongozi wetu wengi ni vichwa nazi.
hawa idara ya usalama hawa kupaswa kukaa kimya, eti Wana mwachia kiranja mkuu aji amulie anavyo taka.
Inge pendeza wange kamata au kuwa lazimishwa waji uzuru wafanya maamuzi mabovu.
Sema usalama yenyewe ni Kama mlevi, full kusukumwa tu.
Kwanini Zanzibar kuna TRA na BOT?Wakienda huko zenji wanalipwa mishahara kwa kodi za bara, wazenji wakifanya kazi bara mishahara inalipwa na kodi za wabara, tofauti ni hiyo tu au unataka kusema wale wabunge kutoka Zanzibar walioko Dodoma wanalipwa na serikali ya Zanzibar? na je sisi wabara wanatusaidia nini kwa kuwepo kwao pale? Ninavyojua wako pale kwa maslahi ya Zanzibar je kwanini walipwe na kodi za wa bara?
Sasa Wasira bingwa wa kusinzia unafikiri anawaza masuala ya Tanganyika?.Watanganyika walioko kwenye nafasi za kimaamuzi ni wapumbavu wote hawana akili wanawaza matumbo yao tuu hawana kingine, wao ndio walipaswa kumaliza huu upumbavu unaoitwa muungano
Usisahau Japana ilitawala Uchina kabla ya WWII, Marekani ilinusurika kidogo tu kutawaliwa na Wa Japan. kilicho wakoa Marekani ni kugundua bomu la Atomic. Ndiyo ikawa mwisho wa imperialism ya imaya ya ki Japan. Kwa hiyo ukubwa wa nchi sio hoja.Mbona Marekani haitawaliwi wala South Africa? ni hatuna akili
Zanzibar wana nini cha kututisha mpk watutawale? ni ujinga tu unatusumbuaUsisahau Japana ilitawala Uchina kabla ya WWII, Marekani ilinusurika kidogo tu kutawaliwa na Wa Japan. kilicho wakoa Marekani ni kugundua bomu la Atomic. Ndiyo ikawa mwisho wa imperialism ya imaya ya ki Japan. Kwa hiyo ukubwa wa nchi sio hoja.
ZRA ni ya Zanzibar TRA ni ya muungano umeelewa ?ila TRA ya zanzibar hatakiwi mtanganyika kuajiriwa, wanaajiriwa wao tu, na wengi wanaoajiriwa huku bara inasemekana uwezo wao mdogo kwa sababu ya elimu.
ZRA ni ya Zanzibar Ila TRA ni ya muungano umeelewa ?Kwan Zanzibar si wana ZRA na cc n TRA , au ndio A is union B but B is not Union to A 🤔🤔
Kwa iyo wao kule wanakusanya ni za kwao peke yao na wanatumia peke yao, halafu wanakuja kwenye TRA ya hukupia wanapata mgao wanaweka kimyani? au vipi, fafanua.ZRA ni ya Zanzibar TRA ni ya muungano umeelewa ?
Ukimkulupua ghafla ukamuuliza Raisi wa kwanza Tanzania ni nani anaweza akamtaja kabudi, Kwa umri ule alio nao alafu anakua chawa unadhani zimemuenea kichwani kweli yuleSasa Wasira bingwa wa kusinzia unafikiri anawaza masuala ya Tanganyika?.
Unadhani hela inayokusanywa na ZRA inaendaga wapi?Kwanini Zanzibar kuna TRA na BOT?
Ni kama ndoa yaan , zako ni za mkeo ila zake n zake tuu 🤔📩😊Kwa iyo wao kule wanakusanya ni za kwao peke yao na wanatumia peke yao, halafu wanakuja kwenye TRA ya hukupia wanapata mgao wanaweka kimyani? au vipi, fafanua.
Kumbuka tu hao TRA hata Zanzibar wapo na wanakusanya mapato piaKwa iyo wao kule wanakusanya ni za kwao peke yao na wanatumia peke yao, halafu wanakuja kwenye TRA ya hukupia wanapata mgao wanaweka kimyani? au vipi, fafanua.