Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

Pale Watanganyika munaposema asilimia kubwa ya Wazanzibari ni Waislamu, wanaweza kuleta siasa kali, hivyo wadhibitiwe kwa kuwaweka kwenye muungano huwa munasahau? Hamulioni hili? Wazanzibari ilikuwa wapate 50% kwani muungano huu ni wa nchi mbili huru. Au na hili hilijui?

Waswahili wana kamsemo kao "Ukipenda boga, upende na mti wake".

Endelea kuhubiri tu kuna siku yataisha haya.
 
Kwani si mna ZRA huko 😂
 
Ni kweli lkn inauma balaa,tugune kimya kimya tu,yatakwisha.
 
Kumbuka tu hao TRA hata Zanzibar wapo na wanakusanya mapato pia
kwa hiyo zanzibar kuna TRA? na wakati huo huo wazanzibar wanalalamika kwamba wakipigwa kodi kwao mzigo ukifika dsm unapigwa kodi tena? ingewezekanaje? fafanua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…