Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

Acha gubu we mwanamke,peleka ndugu zako wote wakachukue hiizo ajira 330
 
Umesoma sheria ya utumishi wa umma namba 8 ndio utajua wewe ni Mtanganyika (Tanzania Bara) ambaye hajui chochote cha maana kuhusu nchi yake lakini anajua idadi ya Ng'ombe alizotoa Azizi Ki.
Kwanini Azizi Ki ndio nani...???


Chaaapaa kaazi!!
 
Mitano tena kwa mama!
Sasa, wa Tanganyika mnalia Lia nini? Jazz, polisi, TOSS, magereza kote huko ni wa Tanganyika watupu wanaongoza, kampuni kibao za, ndani na, nje yq nchi, zikienda, zenj kuwekeza, asilimia, 99,yq, staff wake watatoka Bara!
Tulieni dawa, iingie, awamu ya pili yq mama, ma, RC asilimia 50,tutaweka wazenj!
 
Sio haki kabisa. Wakati mtu wa bsra hawezi kupata kazi yoyote ya kuajiriwa na serikali ya mapinduzi wao wanatengewa asilimia kubwa isiyoendana wala na uasilia kufuatana na wingi wa watu bara na zanzibar. Kiuasilia wangetengewa asili kama 2 tu tena hapo ni zaidi. Kwanza TRA haifanyi kazi zanzibar wao.
wsmeduplicate kila shirika la serikali ya muungano.
Isitoshe linaloudhi sana Zanzibat hata kama wana upungufu taaluma na bara ipo kuliko kuajiti wabara wanaajiri wataalam toka nje ya Tanzania.
 
Wazanziberi wameonewa hapo ilitakiwa iwe 50/50 . Mitanganyika ndio hatujielewi maana hata % yetu haijulikani ni ngapi
 
Sasa jamani hii TRA ni taasisi ya muungano hii? Nao si wana TRA yao jamani?
 
Huna hoja mkuu,bali una chuki na wazanzibar!
Mzanzibar kutawala Tanganyika ni sawa.
Mtanganyika kutawala Zanzibar haramu.
Mtanganyika kuajiriwa ktk taasisi za umma Zanzibar haramu.
Mzanzibar kuajiriwa ktk taasisi za umma Tanganyika sawa.
Mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar haramu.
Mzanzibar kumiliki ardhi Tanganyika sawa.

Haya ebu tupe maana halisi ya chuki isijekuwa hata maana yake hujui.
 
Tengeneza bango kubwaaa,kasimame nalo pale mwenge ili walisome hao wakusudiwa wako
 
Kama waraka ni tangu Mei 2013 huko Mchengerwa unamlaumu kwa sababu zipi?
Mchengerwa hakuwa waziri, Samia hakua Rais wala Makamo wala mtangulizi wake
 
Kama waraka ni tangu Mei 2013 huko Mchengerwa unamlaumu kwa sababu zipi?
Mchengerwa hakuwa waziri, Samia hakua Rais wala Makamo wala mtangulizi wake
Ni 2022 kanuni 2023.
 
Tanganyika iko wapi?
Nafikiri shida ipo hapa
 
Yakhe acha hasira!hivyo wenzio hata hatujui tunataka nini.Wazanzibar ni WA Tanzania pia lkn siku hizi ndio imeanza kutuma !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…