Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

Kwan Zanzibar si wana ZRA na cc n TRA , au ndio A is union B but B is not Union to A πŸ€”πŸ€”
 
ila TRA ya zanzibar hatakiwi mtanganyika kuajiriwa, wanaajiriwa wao tu, na wengi wanaoajiriwa huku bara inasemekana uwezo wao mdogo kwa sababu ya elimu.
 
Kwani Kamishna wa sasa wa Tiharahei katokea wapi kama sio ZRA? Yule siyo Mtanganyika? Fanyeni yenu ya muungano ni magumu kuliko muungano wenyewe.
Wakienda huko zenji wanalipwa mishahara kwa kodi za bara, wazenji wakifanya kazi bara mishahara inalipwa na kodi za wabara, tofauti ni hiyo tu au unataka kusema wale wabunge kutoka Zanzibar walioko Dodoma wanalipwa na serikali ya Zanzibar? na je sisi wabara wanatusaidia nini kwa kuwepo kwao pale? Ninavyojua wako pale kwa maslahi ya Zanzibar je kwanini walipwe na kodi za wa bara?
 
Kwa nn hamkuandamana kupinga huo muungano wa ovyo
Sasa unataka watoto na wajukuu zako waandamane?
Tatizo ni muungano ndiyo umesababisha wagawane hizo ajira kwa percentage

Sasa nyie ndiyo mngeandamana kama kweli mlikuwa majasiri
Waoga wakubwa nyie
Kwanza mmetuharibia nchi wizi ufisadi mnafundisha vijana
 
Unaongelea usalama wa Taifa hawa ambao wamepata hiyo nafasi baada ya kujipendekeza kwa mafisadi(mawaziri,wakurugenzi n.k) ambao hao mafisadi nao pia ni machawa wakubwa wa bibi tozo? Yaani hao usalama wa Taifa ambao wako hapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya mafisadi ndio wawashurutishe mabosi wao wajiuzuru?
 
Watanganyika walioko kwenye nafasi za kimaamuzi ni wapumbavu wote hawana akili wanawaza matumbo yao tuu hawana kingine, wao ndio walipaswa kumaliza huu upumbavu unaoitwa muungano
 
Kwanini Zanzibar kuna TRA na BOT?
 
Watanganyika walioko kwenye nafasi za kimaamuzi ni wapumbavu wote hawana akili wanawaza matumbo yao tuu hawana kingine, wao ndio walipaswa kumaliza huu upumbavu unaoitwa muungano
Sasa Wasira bingwa wa kusinzia unafikiri anawaza masuala ya Tanganyika?.
 
Mbona Marekani haitawaliwi wala South Africa? ni hatuna akili
Usisahau Japana ilitawala Uchina kabla ya WWII, Marekani ilinusurika kidogo tu kutawaliwa na Wa Japan. kilicho wakoa Marekani ni kugundua bomu la Atomic. Ndiyo ikawa mwisho wa imperialism ya imaya ya ki Japan. Kwa hiyo ukubwa wa nchi sio hoja.
 
Zanzibar wana nini cha kututisha mpk watutawale? ni ujinga tu unatusumbua
 
ZRA ni ya Zanzibar TRA ni ya muungano umeelewa ?
Kwa iyo wao kule wanakusanya ni za kwao peke yao na wanatumia peke yao, halafu wanakuja kwenye TRA ya hukupia wanapata mgao wanaweka kimyani? au vipi, fafanua.
 
Sasa Wasira bingwa wa kusinzia unafikiri anawaza masuala ya Tanganyika?.
Ukimkulupua ghafla ukamuuliza Raisi wa kwanza Tanzania ni nani anaweza akamtaja kabudi, Kwa umri ule alio nao alafu anakua chawa unadhani zimemuenea kichwani kweli yule
 
Kwa iyo wao kule wanakusanya ni za kwao peke yao na wanatumia peke yao, halafu wanakuja kwenye TRA ya hukupia wanapata mgao wanaweka kimyani? au vipi, fafanua.
Ni kama ndoa yaan , zako ni za mkeo ila zake n zake tuu πŸ€”πŸ“©πŸ˜Š
 
Kwa iyo wao kule wanakusanya ni za kwao peke yao na wanatumia peke yao, halafu wanakuja kwenye TRA ya hukupia wanapata mgao wanaweka kimyani? au vipi, fafanua.
Kumbuka tu hao TRA hata Zanzibar wapo na wanakusanya mapato pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…