Watanganyika msihofu bandari zenu zitarudishwa mikononi mwenu na mahakama mkataba uloridhiwa na Bunge ni Void ab initio

Mwanasheria wa DPw hapa JF Lord denning anasemaje kwenye hili la Dubai kutokuwa State?
Kule kwao ka-sign mtu mwenye hadhi ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA huku kwetu liwaziri lizima likaanguka mkono. Ushenzi mtupu.
Kwanza umeshawai hata kufika Dubai? Unakuta mtu anaisemea Dubai hata Airport kufika kwake mgogoro
 
Huo mkataba ndivyo ulivyoainisha?kuwa dpw waiendeleze bandari kisha watuachie?usi panic mzalendo,huo mkataba si baina yangu na wewe,kwamba ukinishawishi na nikashawishika ndio mchezo unaisha.
 
Huo mkataba ndivyo ulivyoainisha?kuwa dpw waiendeleze bandari kisha watuachie?usi panic mzalendo,huo mkataba si baina yangu na wewe,kwamba ukinishawishi na nikashawishika ndio mchezo unaisha.
Hahahaaha panic haipo kwenye vocabulary yangu , kwa hiyo kwa fikra zako watainvest hapa Tanzania mpaka mwisho wa Dunia any BIT ikifanyika wahusika wote wanajua ina mwanzo na mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…