stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Ndio maana Muungano hautavunjika otherwise tutawafanya Kama Ujerumani na Austria zilivofanya kwa Germanic states za Holy Roman EmpireWengi ni WAYAO, wanyamwezi, watu wa Mtwara, Lindi, morogoro na Tanga no. Tuendelee kuvumiliana tu
Wenye mawazo yakuvunja muungano ni wachache sanaNdio maana Muungano hautavunjika otherwise tutawafanya Kama Ujerumani na Austria zilivofanya kwa Germanic states za Holy Roman Empire
Nani aliwapeleka huko kuwa watumwa?na asilimia kubwa ya wanzibar ni masalia ya watumwa waliotoka bara
WaarabuNani aliwapeleka huko kuwa watumwa?
Ni muhimu sana ili muungano umaanishe kuungana, iwe serikali moja.Ndo maana Zanzibar hatuwezi tukaiacha ikapumua hata kwa dakika 1.
Yapo majitu yanaitolea macho, bahati mbaya sana kuna vibaraka vyao pale vinavyoamini they belong to Oman and not Africa! Wanaamini mapinduzi ni kunyang'anywa nchi yao, wanajipanga kuja kuikomboa wawatoe wazanzibar halisi ili wakaikalie nchi wao..
Ni kama vile waarabu watake kurudi Bagamoyo wakawatoe waswahili kwenye nchi yao kisa waliwahi kukaa pale na kuunda ule mji...
Ile ni nchi ya watu, Wao walikuja wakaondoka, waishilie mbali.
Wanaodhan ipo siku muungano utavunjika ili warudishe wale jamaa wanapoteza muda, Muungano unaelekea kuwa wa serikali mojaπ€£
Actually huko ndo tunakoelekea, na nadhani Nyerere alichelewesha hiki kitu kwa kile alichoita identity! Kwa maoni yangu hatuhitaji tena kuwa na identity ndani ya taifa moja.Ni muhimu sana ili muungano umaanishe kuungana, iwe serikali moja.
Itawasaidia wazanzibari kumaliza tofauti zao, na itatoa fursa sawa kwa kila mmoja.
Mbona kabla ya kuja waarabu huko ngozi nyeusi walikuwepo wanaishi hukona asilimia kubwa ya wanzibar ni masalia ya watumwa waliotoka bara
Wandengereko wamekuwa wakiishi huko kabla hata ya mwarabu kuja na mwarabu kaja kawakutaNdo maana Zanzibar hatuwezi tukaiacha ikapumua hata kwa dakika 1.
Yapo majitu yanaitolea macho, bahati mbaya sana kuna vibaraka vyao pale vinavyoamini they belong to Oman and not Africa! Wanaamini mapinduzi ni kunyang'anywa nchi yao, wanajipanga kuja kuikomboa wawatoe wazanzibar halisi ili wakaikalie nchi wao..
Ni kama vile waarabu watake kurudi Bagamoyo wakawatoe waswahili kwenye nchi yao kisa waliwahi kukaa pale na kuunda ule mji...
Ile ni nchi ya watu, Wao walikuja wakaondoka, waishilie mbali.
Wanaodhan ipo siku muungano utavunjika ili warudishe wale jamaa wanapoteza muda, Muungano unaelekea kuwa wa serikali mojaπ€£
Magufuli alikuwa kashafanikiwa hatua ya kwanza....kufanya wabunge wa chama kimoja.....nyerere aliachia hatua ya kutengeneza chama kimoja....bahati mbaya vita vikali vya uganda na tz vikaibuka.....Ndo maana Zanzibar hatuwezi tukaiacha ikapumua hata kwa dakika 1.
Yapo majitu yanaitolea macho, bahati mbaya sana kuna vibaraka vyao pale vinavyoamini they belong to Oman and not Africa! Wanaamini mapinduzi ni kunyang'anywa nchi yao, wanajipanga kuja kuikomboa wawatoe wazanzibar halisi ili wakaikalie nchi wao..
Ni kama vile waarabu watake kurudi Bagamoyo wakawatoe waswahili kwenye nchi yao kisa waliwahi kukaa pale na kuunda ule mji...
Ile ni nchi ya watu, Wao walikuja wakaondoka, waishilie mbali.
Wanaodhan ipo siku muungano utavunjika ili warudishe wale jamaa wanapoteza muda, Muungano unaelekea kuwa wa serikali moja[emoji1787]
Kisiwa chenyewe kipo mbioni kumezwa na bahari. siku hiyo sijui watasema na wao ni wabara ili wajazane huku bara.Mzanzibar ni mzanzibar na Mtanganyika ni Mtanganyika hilo halifutiki mpaka dunia hii itaondoka
Wao wakimezwa na bahari wewe una athirika nini ?Kisiwa chenyewe kipo mbioni kumezwa na bahari. siku hiyo sijui watasema na wao ni wabara ili wajazane huku bara.
Kisiwa ndo kinamezwa. Watakimbilia hukiu kwa babu zao. Hivyo wasitupangie namna ya kwenda Kisiwani wakati wanajua kabisa sisi ndo babu zaoWao wakimezwa na bahari wewe una athirika nini ?
Walikuambia watakimbilia huko ?Kisiwa ndo kinamezwa. Watakimbilia hukiu kwa babu zao. Hivyo wasitupangie namna ya kwenda Kisiwani wakati wanajua kabisa sisi ndo babu zao
Wamejaa wengi sana huku. Acha ubishi usio na maana. Tunao hadi maafisi na hatuwabagui. Katika taasisi yangu hadi dreva ni Mpenda, mhasibu Mpenda tunaye. DC wa Kilosa toka Unguja moja. Njoo Kariakoo uwaone, nenda Tanga hadi mitaani. Uje Ifakara wanalima hadi Mpunga. Njoo na Mpwapwa uwaone ndg zako wapenda tumewapa hadi mashamba ya kulima vitunguu.Walikuambia watakimbilia huko ?
Wakati mnawaua miaka ya 2000 walikimbilia huko kwenu ?
Mnafikiri wanawapenda sana ?!.
Unapenda sana ukoloni mpaka unaona jambo la maana saaana kutendea wengine. Inashangaza hii kauli kutolewa na mtu mweusi aliyepambana kujitoa kwenye makucha ya wakoloni weupe.Kwa Ufupi Vile visiwa vitatawaliwa na Tanganyika hadi siku vitakapozama. Mpaka wa Tanganyika ni maili 100 ndani ya bahari kuu kutoka ufukwe wa upande wa mashariki ya Pwani ya Unguja.
Ukijitoa kwa Mkoloni wako na wewe ukampata mnyonge WAKO WA KUMTAWALA KUNA TATIZO? hata Morocco wanaitawala Sahara Magharibi, Ethiopia wameitawala Eritrea kwa miaka mingi na Tanganyika imepata visiwa vyake vya kui bemend. π πUnapenda sana ukoloni mpaka unaona jambo la maana saaana kutendea wengine. Inashangaza hii kauli kutolewa na mtu mweusi aliyepambana kujitoa kwenye makucha ya wakoloni weupe.
Unasikitisha sana.Ukijitoa kwa Mkoloni wako na wewe ukampata mnyonge WAKO WA KUMTAWALA KUNA TATIZO? hata Morocco wanaitawala Sahara Magharibi, Ethiopia wameitawala Eritrea kwa miaka mingi na Tanganyika imepata visiwa vyake vya kui bemend. π ππ Just a joke. Sisi ni Taifa moja. Hakuna Tanganyika wala Zanzibar, Tuna Tanzania moja na huko mbeleni Serikali itakuwa moja tu na vile visiwa vitakuwa na Mkuu wa Mkoa.
Wewe mwenyewe unaihusudu sana Tanganyika. Angalia hata avater yako yenyewe umeweka Mto Songwe badala ya kuweka picha ya Mkongo wa NUNGWI au picha za kule Mchambawima. Tanganyika ndo Motherland ya WazanzibariUnasikitisha sana.
Nakili historia ya ukoloni, utumwa, mateso, na uonevu kwa mtu mweusi hufahamu hata kidogo hivyo wajiandikia chochote kile kinacho zunguka kichwani mwako.
Mimi kizazi changu ni cha huko mto Songwe and of course ni Mtanganyika kwa utaifa.Wewe mwenyewe unaihusudu sana Tanganyika. Angalia hata avater yako yenyewe umeweka Mto Songwe badala ya kuweka picha ya Mkongo wa NUNGWI au picha za kule Mchambawima. Tanganyika ndo Motherland ya Wazanzibari
π π π π π π kwa sasa tanganyika ndo inatawaliwa na Zanzibar bwana. Si unaona Mkuu wa nchi hadi Waziri wa Ujenzi na baadhi ya wakuu wa Wilaya wametoka Zanzibar wakati hizo Wizara siyo za Muungano. In short muungano wetu ni undugu zaidi kuliko siasa na uchumi. Tudumishe Muungano wetu kuelekea kuwa na Serikali moja tu.Mimi kizazi changu ni cha huko mto Songwe and of course ni Mtanganyika kwa utaifa.
Ila kama unafikiri utanganyika wangu ni kuunga mkono ukoloni wa mtu mweusi kwa mweusi mwenzake utakuwa unakosea sana.