Watanganyika ndio Wazenji halisi

Watanganyika ndio Wazenji halisi

Wengi ni WAYAO, wanyamwezi, watu wa Mtwara, Lindi, morogoro na Tanga no. Tuendelee kuvumiliana tu
Ndio maana Muungano hautavunjika otherwise tutawafanya Kama Ujerumani na Austria zilivofanya kwa Germanic states za Holy Roman Empire
 
Ndo maana Zanzibar hatuwezi tukaiacha ikapumua hata kwa dakika 1.

Yapo majitu yanaitolea macho, bahati mbaya sana kuna vibaraka vyao pale vinavyoamini they belong to Oman and not Africa! Wanaamini mapinduzi ni kunyang'anywa nchi yao, wanajipanga kuja kuikomboa wawatoe wazanzibar halisi ili wakaikalie nchi wao..

Ni kama vile waarabu watake kurudi Bagamoyo wakawatoe waswahili kwenye nchi yao kisa waliwahi kukaa pale na kuunda ule mji...

Ile ni nchi ya watu, Wao walikuja wakaondoka, waishilie mbali.

Wanaodhan ipo siku muungano utavunjika ili warudishe wale jamaa wanapoteza muda, Muungano unaelekea kuwa wa serikali moja🤣
Ni muhimu sana ili muungano umaanishe kuungana, iwe serikali moja.

Itawasaidia wazanzibari kumaliza tofauti zao, na itatoa fursa sawa kwa kila mmoja.
 
Actually huko ndo tunakoelekea, na nadhani Nyerere alichelewesha hiki kitu kwa kile alichoita identity! Kwa maoni yangu hatuhitaji tena kuwa na identity ndani ya taifa moja.
 
na asilimia kubwa ya wanzibar ni masalia ya watumwa waliotoka bara
Mbona kabla ya kuja waarabu huko ngozi nyeusi walikuwepo wanaishi huko
Kwani mwarabu ndiyo aliianzisha kisiwa hicho

Ova
 
Ndo maana Zanzibar hatuwezi tukaiacha ikapumua hata kwa dakika 1.

Yapo majitu yanaitolea macho, bahati mbaya sana kuna vibaraka vyao pale vinavyoamini they belong to Oman and not Africa! Wanaamini mapinduzi ni kunyang'anywa nchi yao, wanajipanga kuja kuikomboa wawatoe wazanzibar halisi ili wakaikalie nchi wao..

Ni kama vile waarabu watake kurudi Bagamoyo wakawatoe waswahili kwenye nchi yao kisa waliwahi kukaa pale na kuunda ule mji...

Ile ni nchi ya watu, Wao walikuja wakaondoka, waishilie mbali.

Wanaodhan ipo siku muungano utavunjika ili warudishe wale jamaa wanapoteza muda, Muungano unaelekea kuwa wa serikali moja🤣
Wandengereko wamekuwa wakiishi huko kabla hata ya mwarabu kuja na mwarabu kaja kawakuta

Ova
 
Ndo maana Zanzibar hatuwezi tukaiacha ikapumua hata kwa dakika 1.

Yapo majitu yanaitolea macho, bahati mbaya sana kuna vibaraka vyao pale vinavyoamini they belong to Oman and not Africa! Wanaamini mapinduzi ni kunyang'anywa nchi yao, wanajipanga kuja kuikomboa wawatoe wazanzibar halisi ili wakaikalie nchi wao..

Ni kama vile waarabu watake kurudi Bagamoyo wakawatoe waswahili kwenye nchi yao kisa waliwahi kukaa pale na kuunda ule mji...

Ile ni nchi ya watu, Wao walikuja wakaondoka, waishilie mbali.

Wanaodhan ipo siku muungano utavunjika ili warudishe wale jamaa wanapoteza muda, Muungano unaelekea kuwa wa serikali moja[emoji1787]
Magufuli alikuwa kashafanikiwa hatua ya kwanza....kufanya wabunge wa chama kimoja.....nyerere aliachia hatua ya kutengeneza chama kimoja....bahati mbaya vita vikali vya uganda na tz vikaibuka.....

Gharama ambayo Tanganyika imekwishalipa kwaajili ya muungano ni kubwa mno hailipiki tena.... Zanzibar isijidanganye itaweza kulipa hizo gharama...imebaki serikali iwe moja....maana karume alimpa ahadi nyerere kuwa waunganishe serikali hatua kwa hatua kwasababu wazanzibar wanahitaji muda wa kuelewa vizuri....

Sasa hizi janjajanja za kula vya tanganyika alafu mkatae muungano ili bara wapate hasara haikubaliki..timizeni wajibu wenu.@paskali mayalla
 
Mzanzibar ni mzanzibar na Mtanganyika ni Mtanganyika hilo halifutiki mpaka dunia hii itaondoka
Kisiwa chenyewe kipo mbioni kumezwa na bahari. siku hiyo sijui watasema na wao ni wabara ili wajazane huku bara.
 
Kisiwa ndo kinamezwa. Watakimbilia hukiu kwa babu zao. Hivyo wasitupangie namna ya kwenda Kisiwani wakati wanajua kabisa sisi ndo babu zao
Walikuambia watakimbilia huko ?

Wakati mnawaua miaka ya 2000 walikimbilia huko kwenu ?

Mnafikiri wanawapenda sana ?!.
 
Wamejaa wengi sana huku. Acha ubishi usio na maana. Tunao hadi maafisi na hatuwabagui. Katika taasisi yangu hadi dreva ni Mpenda, mhasibu Mpenda tunaye. DC wa Kilosa toka Unguja moja. Njoo Kariakoo uwaone, nenda Tanga hadi mitaani. Uje Ifakara wanalima hadi Mpunga. Njoo na Mpwapwa uwaone ndg zako wapenda tumewapa hadi mashamba ya kulima vitunguu.

Kwa Ufupi Vile visiwa vitatawaliwa na Tanganyika hadi siku vitakapozama. Mpaka wa Tanganyika ni maili 100 ndani ya bahari kuu kutoka ufukwe wa upande wa mashariki ya Pwani ya Unguja.
 
Unapenda sana ukoloni mpaka unaona jambo la maana saaana kutendea wengine. Inashangaza hii kauli kutolewa na mtu mweusi aliyepambana kujitoa kwenye makucha ya wakoloni weupe.
 
Ukijitoa kwa Mkoloni wako na wewe ukampata mnyonge WAKO WA KUMTAWALA KUNA TATIZO? hata Morocco wanaitawala Sahara Magharibi, Ethiopia wameitawala Eritrea kwa miaka mingi na Tanganyika imepata visiwa vyake vya kui bemend. 😄 😄 :3Heading:😄 Just a joke. Sisi ni Taifa moja. Hakuna Tanganyika wala Zanzibar, Tuna Tanzania moja na huko mbeleni Serikali itakuwa moja tu na vile visiwa vitakuwa na Mkuu wa Mkoa.
 
Unasikitisha sana.

Nakili historia ya ukoloni, utumwa, mateso, na uonevu kwa mtu mweusi hufahamu hata kidogo hivyo wajiandikia chochote kile kinacho zunguka kichwani mwako.
 
Wewe mwenyewe unaihusudu sana Tanganyika. Angalia hata avater yako yenyewe umeweka Mto Songwe badala ya kuweka picha ya Mkongo wa NUNGWI au picha za kule Mchambawima. Tanganyika ndo Motherland ya Wazanzibari
 
Mimi kizazi changu ni cha huko mto Songwe and of course ni Mtanganyika kwa utaifa.

Ila kama unafikiri utanganyika wangu ni kuunga mkono ukoloni wa mtu mweusi kwa mweusi mwenzake utakuwa unakosea sana.
 
😄 😄 😄 😄 😄 😄 kwa sasa tanganyika ndo inatawaliwa na Zanzibar bwana. Si unaona Mkuu wa nchi hadi Waziri wa Ujenzi na baadhi ya wakuu wa Wilaya wametoka Zanzibar wakati hizo Wizara siyo za Muungano. In short muungano wetu ni undugu zaidi kuliko siasa na uchumi. Tudumishe Muungano wetu kuelekea kuwa na Serikali moja tu.
 
Back
Top Bottom