Watanganyika ndio Wazenji halisi

Ni muhimu sana ili muungano umaanishe kuungana, iwe serikali moja.

Itawasaidia wazanzibari kumaliza tofauti zao, na itatoa fursa sawa kwa kila mmoja.

umewahi sikia wapi muungano wa serikali moja?
 

PUMBA
 
Huna unacho jua inshort unapigania kudumisha kitu usicho fahamu inahuzunisha.

Laiti kama ungefahamu kitu unacho fagilia sidhani kama ungekiunga mkono labda kama una maslahi nacho au uwe mjinga usiyejitambua.
 
Huna unacho jua inshort unapigania kudumisha kitu usicho fahamu inahuzunisha.

Laiti kama ungefahamu kitu unacho fagilia sidhani kama ungekiunga mkono labda kama una maslahi nacho au uwe mjinga usiyejitambua.
Tuna Maslahi mapana sana na Muungano huu na Kamwe hautavunjika full stop.
 
Maslahi mpana kama yapi yanayo kufanya wewe kufagilia ukoloni ?
Hamna ukoloni wa Tanganyika juu ya Zanzibar maana wakati wake weusi wote wametoka bara. Kule kuna Wamatumbi, Wanyasa, Wandengereko, Wanyamwezi wa Tabora, Wadigo n.k.

Changamoto ni kile kizazi haramu chenye damu ya Washirazi na Waoman wanajioa wao siyo Watanganyika. Zanzibar yenyewe maana yake ni ardhi ya watu weusi. Zanzibar ni kama ilivyo tu Mafia na Ukerewe. Vile visima vinatakiwa kupewa hadi za Wilaya tu then Pemba ikawa chini ya Mkoa wa Tanga na Unguja ikawa chini ya RC wa Pwani. Nukta!!
 
Kutumia bendera ya "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" na kuiita bendera ya"Jamhuri ya Watu wa Tanzania" huo ni UHAINI na adhabu yake ni moja tu!
 
Unalazimisha Zanzibar kuwa Tanganyika kwa matamanio yako.

Yanayopelekea kuona mpaka ukoloni unaotekelezeka kule kuwa jambo la maana sana kwako.

Kwa nini unaita wengine haramu ? Nani kakupa mamlaka ya kuamua yupi halali na yupi haramu ?
 
Unalazimisha Zanzibar kuwa Tanganyika kwa matamanio yako.

Yanayopelekea kuona mpaka ukoloni unaotekelezeka kule kuwa jambo la maana sana kwako.

Kwa nini unaita wengine haramu ? Nani kakupa mamlaka ya kuamua yupi halali na yupi haramu ?
Tuachane na Muungano wa Kimagumashi, twende kwenye Muungano halisi wa serikali moja na Rais Moja. Huu ndo DHAMIRA Vyama vilivyoungana vya ASP na TANU kwa tuanze na muungano wa Serikali mbili wakati kila upande unajiandaa wakati tunajiandaa kwenda Serikali moja. Tanganyika tupo tayari kwa Serikali moja na Rais Moja. Wakubwa hadi huko Ulaya wanaungana kutengeza NATO na Umoja wa Ulaya. wameondoa hadi habari ya kusafiri na hati ya kusafiria ndani ya nchi wanachama, halafu mwakili moja kutoka Mchambawima anasema Watanganyika tuingie Zanzibar na Pasi ya kusafiria.
 
Kwa sasa Zanzi bar bila Muungano hakuta kalika.
Tatizo linajulikana
 
Muungano sio kitu cha kulazimishana.

Na hatupaswi kufanya vitu kwa sababu watu fulani wanafanya basi yatutaka nasi kufanya sio yote yafanywayo na wakubwa ni sahihi mengine ni ubatili mtupu ndio kama huo ukoloni.
 
Wacha utapeli, udangsnyifu peleka huko.
 
Aliekwambia UAE kuna serikali moja nani?
Unataka ukamfanye nini? Mimi ndio nimekwambia wewe, nipo hapa Hanyegwa Mchana, kama nimekukwaza samahani, alieniambia Mimi kakukosa nini??

Kwa kukusaidia uelewa ninarejea tena, ni serikali moja, inaongozwa na Raisi mmoja, Makamo wa Raisi mmoja, na waziri Mkuu mmoja. Na wana Federal Supreme Coucil moja tu.
 

Kuna sehemu unakwama kiakili mkuu, KUle kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano kama kulivyo huku, ila ukienda kutemebea wiki moja ni ngumu kuyaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…