Ni muhimu sana ili muungano umaanishe kuungana, iwe serikali moja.
Itawasaidia wazanzibari kumaliza tofauti zao, na itatoa fursa sawa kwa kila mmoja.
umewahi sikia wapi muungano wa serikali moja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muhimu sana ili muungano umaanishe kuungana, iwe serikali moja.
Itawasaidia wazanzibari kumaliza tofauti zao, na itatoa fursa sawa kwa kila mmoja.
Tunaweza kudhani Zanzibar ni yetu... hiyo haizuii na wao kudhani ni yao.. ndio maana kina Barwan walisema "we will return"
Once upon a time, - between 1698 to 1856- Zanzibar was a capital city of the Oman Empire. And that was a plenty of time to call somewhere your own home.
Huna unacho jua inshort unapigania kudumisha kitu usicho fahamu inahuzunisha.😄 😄 😄 😄 😄 😄 kwa sasa tanganyika ndo inatawaliwa na Zanzibar bwana. Si unaona Mkuu wa nchi hadi Waziri wa Ujenzi na baadhi ya wakuu wa Wilaya wametoka Zanzibar wakati hizo Wizara siyo za Muungano. In short muungano wetu ni undugu zaidi kuliko siasa na uchumi. Tudumishe Muungano wetu kuelekea kuwa na Serikali moja tu.
na asilimia kubwa ya wanzibar ni masalia ya watumwa waliotoka bara
Tuna Maslahi mapana sana na Muungano huu na Kamwe hautavunjika full stop.Huna unacho jua inshort unapigania kudumisha kitu usicho fahamu inahuzunisha.
Laiti kama ungefahamu kitu unacho fagilia sidhani kama ungekiunga mkono labda kama una maslahi nacho au uwe mjinga usiyejitambua.
Maslahi mpana kama yapi yanayo kufanya wewe kufagilia ukoloni ?Tuna Maslahi mapana sana na Muungano huu na Kamwe hautavunjika full stop.
Hamna ukoloni wa Tanganyika juu ya Zanzibar maana wakati wake weusi wote wametoka bara. Kule kuna Wamatumbi, Wanyasa, Wandengereko, Wanyamwezi wa Tabora, Wadigo n.k.Maslahi mpana kama yapi yanayo kufanya wewe kufagilia ukoloni ?
Kabla ya waarabu nani walikuwa wakiishi huko kama watanganyika walipelekwa na waarabu kufanywa watumwa. Au waarabu walikuta kisiwa hakina watu?Waarabu
Kutumia bendera ya "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" na kuiita bendera ya"Jamhuri ya Watu wa Tanzania" huo ni UHAINI na adhabu yake ni moja tu!Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi!
Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika
Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio wazanzibari orijino.
Asili ya neno Zanzibar ni maneno mawili ya kiarabu. "Zanj" ikimaanisha 'watu weusi' na "Bar" ikimaanisha 'nchi kavu'. Neno la kiarabu 'bar' ndiyo asili ya neno la kiswahili "bara". Kwahiyo maana ya neno "Zanzibar" ni 'nchi ya watu weusi'.
Nakubali kwamba hapa visiwani wapo watu weusi lakini ukifanya utafiti vizuri utagundua wakazi wengi wa Zanzibar wana asili ya nchi za kiarabu kama Oman, Uajemi na baadhi wana asili ya India huku wachache zaidi wakiwa na asili ya Ulaya.
Majengo pembezoni mwa fukwe za Bahari ya Hindi kisiwani Unguja
Hili si jambo la kushangaza kwa sababu historia inaonesha kumekuwa na mwingiliano mkubwa sana kati ya wazanzibari asilia na watu wa Asia kwa karne nyingi hapo nyuma, jambo lililochochewa zaidi na biashara haramu ya Utumwa na Utawala batili wa kisultani uliokalia visiwa hivyo kimabavu kwa zaidi ya miaka 100.
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya kwa miaka michache niliyowahi kukaa hapa Unguja nimegundua kuwa hata wale wazanzibari wanaoonekana kufanana zaidi na watu wa bara, ukifuatilia vizuri utakuta wao pia wana damu za kiarabu au kiajemi, jambo linaloashiria uwepo wa mwingiliano wa kindugu baina yao na waasia wenyewe au machotara wa kiasia hapo zamani.
Iko wazi kwamba, hata bara kuna watu wengi wenye asili za Mashariki ya kati, Mashariki ya mbali, na wengine Ulaya lakini hilo halibatilishi ukweli kwamba watu wa aina hiyo ni wachache ukioanisha idadi yao na ya wale ambao asili zao zinatokana na jamii mbalimbali za hapa hapa barani Afrika.
View attachment 2973737
Mlima Tarime mkoani Mara ukionekana kwa mbali
Kwa muktadha huo nachelea kuhitimisha kwamba Watanganyika ndio Wazanzibari halisi. Neno Zanzibar linaleta mantiki zaidi likitumika kuwaelezea watu wa bara kuliko wa hapa kisiwani.
Sisemi kwamba kuanzia leo watu wa bara tuitwe Wazanzibari lakini najaribu tu kuwafungua macho baadhi ya Waunguja na Wapemba ambao wakisikia neno Zanzibar wanajawa na hisia za kibinafsi za utaifa wa Zanzibar kiasi cha kujihisi wao ni tofauti na sisi wakati kiuhalisia neno Zanzibar linaweza kutumika kama utambulisho wa Watanganyika, na Waafrika weusi kwa ujumla.
Bendera ya Zanzibar ndani ya Muungano
Nimewahi kuishi Zanzibar kwa miaka 4 wakati bado najitafuta, kabla ya kuamua kurudi nyumbani Tarime lakini katika kuadhimisha miaka 60 ya Muungano, mwezi huu wa nne niliona nije kujivinjari hapa kisiwani Unguja na nikutane na baadhi ya rafiki zangu baada ya kutenganishwa na umbali kwa muda mrefu kidogo sasa.
As long as I'm still alive, Tanzania must one day become one country for real. I see no point of Union if one part of the Union consider itself as a separate state!!
View attachment 2973748
Bendera ya Jamhuri ya Watu wa Tanzania ikipepea kwenye mlingoti
Nimesema Jamhuri ya Watu wa Tanzania kwa makusudi kabisa.
Happy 60th Union Anniversary 🎉
Il| Il |I l| Il
Unalazimisha Zanzibar kuwa Tanganyika kwa matamanio yako.Hamna ukoloni wa Tanganyika juu ya Zanzibar maana wakati wake weusi wote wametoka bara. Kule kuna Wamatumbi, Wanyasa, Wandengereko, Wanyamwezi wa Tabora, Wadigo n.k.
Changamoto ni kile kizazi haramu chenye damu ya Washirazi na Waoman wanajioa wao siyo Watanganyika. Zanzibar yenyewe maana yake ni ardhi ya watu weusi. Zanzibar ni kama ilivyo tu Mafia na Ukerewe. Vile visima vinatakiwa kupewa hadi za Wilaya tu then Pemba ikawa chini ya Mkoa wa Tanga na Unguja ikawa chini ya RC wa Pwani. Nukta!!
Tuachane na Muungano wa Kimagumashi, twende kwenye Muungano halisi wa serikali moja na Rais Moja. Huu ndo DHAMIRA Vyama vilivyoungana vya ASP na TANU kwa tuanze na muungano wa Serikali mbili wakati kila upande unajiandaa wakati tunajiandaa kwenda Serikali moja. Tanganyika tupo tayari kwa Serikali moja na Rais Moja. Wakubwa hadi huko Ulaya wanaungana kutengeza NATO na Umoja wa Ulaya. wameondoa hadi habari ya kusafiri na hati ya kusafiria ndani ya nchi wanachama, halafu mwakili moja kutoka Mchambawima anasema Watanganyika tuingie Zanzibar na Pasi ya kusafiria.Unalazimisha Zanzibar kuwa Tanganyika kwa matamanio yako.
Yanayopelekea kuona mpaka ukoloni unaotekelezeka kule kuwa jambo la maana sana kwako.
Kwa nini unaita wengine haramu ? Nani kakupa mamlaka ya kuamua yupi halali na yupi haramu ?
Muungano sio kitu cha kulazimishana.Tuachane na Muungano wa Kimagumashi, twende kwenye Muungano halisi wa serikali moja na Rais Moja. Huu ndo DHAMIRA Vyama vilivyoungana vya ASP na TANU kwa tuanze na muungano wa Serikali mbili wakati kila upande unajiandaa wakati tunajiandaa kwenda Serikali moja. Tanganyika tupo tayari kwa Serikali moja na Rais Moja. Wakubwa hadi huko Ulaya wanaungana kutengeza NATO na Umoja wa Ulaya. wameondoa hadi habari ya kusafiri na hati ya kusafiria ndani ya nchi wanachama, halafu mwakili moja kutoka Mchambawima anasema Watanganyika tuingie Zanzibar na Pasi ya kusafiria.
With all due respect, Pumba unamaanisha nini?PUMBA
Germany, Malaysia, Switzerland, United Kingdom na United Arab Emirates.umewahi sikia wapi muungano wa serikali moja?
Wacha utapeli, udangsnyifu peleka huko.Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi!
Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika
Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio wazanzibari orijino.
Asili ya neno Zanzibar ni maneno mawili ya kiarabu. "Zanj" ikimaanisha 'watu weusi' na "Bar" ikimaanisha 'nchi kavu'. Neno la kiarabu 'bar' ndiyo asili ya neno la kiswahili "bara". Kwahiyo maana ya neno "Zanzibar" ni 'nchi ya watu weusi'.
Nakubali kwamba hapa visiwani wapo watu weusi lakini ukifanya utafiti vizuri utagundua wakazi wengi wa Zanzibar wana asili ya nchi za kiarabu kama Oman, Uajemi na baadhi wana asili ya India huku wachache zaidi wakiwa na asili ya Ulaya.
Majengo pembezoni mwa fukwe za Bahari ya Hindi kisiwani Unguja
Hili si jambo la kushangaza kwa sababu historia inaonesha kumekuwa na mwingiliano mkubwa sana kati ya wazanzibari asilia na watu wa Asia kwa karne nyingi hapo nyuma, jambo lililochochewa zaidi na biashara haramu ya Utumwa na Utawala batili wa kisultani uliokalia visiwa hivyo kimabavu kwa zaidi ya miaka 100.
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya kwa miaka michache niliyowahi kukaa hapa Unguja nimegundua kuwa hata wale wazanzibari wanaoonekana kufanana zaidi na watu wa bara, ukifuatilia vizuri utakuta wao pia wana damu za kiarabu au kiajemi, jambo linaloashiria uwepo wa mwingiliano wa kindugu baina yao na waasia wenyewe au machotara wa kiasia hapo zamani.
Iko wazi kwamba, hata bara kuna watu wengi wenye asili za Mashariki ya kati, Mashariki ya mbali, na wengine Ulaya lakini hilo halibatilishi ukweli kwamba watu wa aina hiyo ni wachache ukioanisha idadi yao na ya wale ambao asili zao zinatokana na jamii mbalimbali za hapa hapa barani Afrika.
View attachment 2973737
Mlima Tarime mkoani Mara ukionekana kwa mbali
Kwa muktadha huo nachelea kuhitimisha kwamba Watanganyika ndio Wazanzibari halisi. Neno Zanzibar linaleta mantiki zaidi likitumika kuwaelezea watu wa bara kuliko wa hapa kisiwani.
Sisemi kwamba kuanzia leo watu wa bara tuitwe Wazanzibari lakini najaribu tu kuwafungua macho baadhi ya Waunguja na Wapemba ambao wakisikia neno Zanzibar wanajawa na hisia za kibinafsi za utaifa wa Zanzibar kiasi cha kujihisi wao ni tofauti na sisi wakati kiuhalisia neno Zanzibar linaweza kutumika kama utambulisho wa Watanganyika, na Waafrika weusi kwa ujumla.
Bendera ya Zanzibar ndani ya Muungano
Nimewahi kuishi Zanzibar kwa miaka 4 wakati bado najitafuta, kabla ya kuamua kurudi nyumbani Tarime lakini katika kuadhimisha miaka 60 ya Muungano, mwezi huu wa nne niliona nije kujivinjari hapa kisiwani Unguja na nikutane na baadhi ya rafiki zangu baada ya kutenganishwa na umbali kwa muda mrefu kidogo sasa.
As long as I'm still alive, Tanzania must one day become one country for real. I see no point of Union if one part of the Union consider itself as a separate state!!
View attachment 2973748
Bendera ya Jamhuri ya Watu wa Tanzania ikipepea kwenye mlingoti
Nimesema Jamhuri ya Watu wa Tanzania kwa makusudi kabisa.
Happy 60th Union Anniversary 🎉
Il| Il |I l| Il
Germany, Malaysia, Switzerland, United Kingdom na United Arab Emirates.
Unataka ukamfanye nini? Mimi ndio nimekwambia wewe, nipo hapa Hanyegwa Mchana, kama nimekukwaza samahani, alieniambia Mimi kakukosa nini??Aliekwambia UAE kuna serikali moja nani?
Unataka ukamfanye nini? Mimi ndio nimekwambia wewe, nipo hapa Hanyegwa Mchana, kama nimekukwaza samahani, alieniambia Mimi kakukosa nini??
Kwa kukusaidia uelewa ninarejea tena, ni serikali moja, inaongozwa na Raisi mmoja, Makamo wa Raisi mmoja, na waziri Mkuu mmoja. Na wana Federal Supreme Coucil moja tu.