Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 594
- 1,061
Ninyi na rasilimali zenu safiii!!!
Hivi ikitokea mtu katekwa na watekaji aidha majambazi au magaidi, hao watekaji wakatoa tamko lao, kwamba "mtu wenu tunae, ila tutamuua kama hamtatimiza matakwa yetu ndani ya muda fulani"
Baada ya muda uliowekwa kupita mnamuona yule mateka mtaani mzima wa afya na hana wasiwasi (anadunda tu)
Hii inamaana gani, je ndugu wa mateka walitekeleza matakwa ya watekaji? Ama;
Mateka alitoroka mafichoni? Ama,
Ndugu wa mateka walimkomboa ndugu yao kwa kukabiliana na mateka.? Ama
Watekaji walirainishwa kwa maneno wakaingia huruma wakamuachia mateka au,
Watekaji waligaili wakaamua kuachana na mpango wao.
Sasa sina shida na mateka na Ndugu zake wala watekaji...
Titizo na ninachotaka kujua ni nani kawatuma watekaji?
Alidhamilia nini au alitaka kupata nini ili iweje yani?
Asili yake, ni anatokea wapi? (kama ni wanandugu wa mateka au mateka alijiteka).
Je tumeingiliwa au ni kwamasrahi mapana ya taifa(state sponsorship) kwa kweli sina amani kabisa mzalendo mimi, nitapata amani nikipata majibu ya uhakika.