Kuna taarifa kwamba hivi sasa kupata boti ya Zanzibar imekua shida.
Watanganyika wengi inasemekana wamekimbilia kwa ndugu zao na wengine mahoteli ili kukimbia December 9.
Zanzibar inasemekana imekua kimbilio kubwa kwa watu wa upande wa pili
Quran
“Je, mnadhani kuwa mtaachwa bila kujaribiwa?…”
(Qur’an 9:16)

(Qur’an 21:35)“Na tunakujaribuni kwa shari na kheri kama mtihani.”