The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Tanzania ya sasa inatia hasira kuliko wakati wowote ule. Kuna ukandamizaji wa wazi wa haki za binadamu pale ambapo watu tunataka kuhoji maswala ya msingi.
Ikumbukwe Tayari kuna wenzetu
wameshaanza kutiwa nguvuni. Ili kuonnyesha tuko nao pamoja. Itabidi tuwaonyeshe CCM nguvu ya umma ni real.
Kuanzia sasa Tuhuzurie Mikutano ya CCM kwa wingi kwa ajili ya kuzomea. Booooo Booooo Lengo ni kufikisha ujumbe kwamba mkataba wa bandari hatukibaliani nao.
Wana harakati wameshafanya kazi yao. Sasa ni wakati wa nguvu ya umma kufanya kazi yetu. Hata hawa wakuu wa wilaya na mikoa wanaoongea utumbo tuwapige Boooo hadi waongee lugha inayorleweka.
Nawasilisha.