BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
We haja yako ni kuona habari inayongazwa ama ni kuona mtangazaji kavaa nini?Azama media ni moja ya kituo kikubwa ambacho kimeleta mabadiliko makubwa katika tasnia yetu ya habari hapa nchini.
Wamekuwa wabunifu katika vipindi,ubora wa picha na mpangilio mzuri wa vipindi na wingi wa Chanel nzuri katika kiaimbuzi chao hongereni kwa hilo.
Kero ya watu wengi na wapenzi wa Azama media ni kwamba watangazi wengi wamekuwa wakirudia rudia nguo Yani mpaka inakuwa kero Kuna kipindi Cha ndani ya boksi azam 2 na mkanda yani watangazi hawapendez kabisa na kila nguo zinarudiwa kila wiki Yani hadi inaboa kwakweli.
Azam brand kubwa kwann kusiwe na uwekezaji katika swala hilo au watangazaji wasijiongeze kuingia mikataba na kampuni za nguo Kama sandaland the only one au vunja Bei sababu hata media nyingine huwa wanafanya hvyo.
Inakera vipindi ambavyo unatamani kuona presenta akiwa smart unaona anarudia nguo ya wiki iliyopita jaman badilikeni inaboa Sana.
Mradi hayuko uchi na yupo smart!