Watangazaji wa Azam TV wamekuwa wakirudia nguo

Hiko hivi personality ni kitu kikubwa Sana hasa linapokuja swala la kuwa unaangaliwa na watu zaidi ya milioni 60 jambo kubwa ni kwamba wanatakiwa wapokee ushauri then waufanyie kazi mbona hatuoni Mambo hayo ktk media zingine tena ni changa tu unakuta mapresenters wanaingia mikataba na maduka ya nguo na wanakuwa smart na dressing code husika za kipindi husika.
Lakini ukiwaacha wavae nguo zao za nyumbani Kama wanavyofanya azam tv ndio balaa linapokuja hapo wengine hawajali kuhusu mwonekano.MBONA KWA WATANGAZAJI WA VIPINDI VYA MICHEZO WA HAPO AZAM WANAJITAHIDI KIASI NA SUTI ZAO ZILE ZA KINA AHMED ALLIY KWA SABABU WANAWEKEWA UNIFORM KUNA KUWA NA AFADHALI SIO HAWA WA AZMA TWO NA SINEMA ZETU NI AIBU.
Okey
 
Wale ni watangazaji sio waigizaji,unataka waishi maisha ya kuigiza?Non sense!
 
Wapunguze kuvaa mabaibui
Mh huko Mimi sipo cos ninavyojua kila kipindi kina dressing code yake na mabaibui mm sijayaona hapo labda shungi na kwa upande wa ushungi ni kitu Cha kawaida tu hata mama anavaa na anapendeza Sana.
 
Alokwambia unadhifu ni kuvaa nguo mpya kila siku ni nani?
Nafkiri unatakiwa ujifunze lugha ya kiswahili nini maana ya unadhifu.Au kwa mfano hai jaribu kuvaa nguo yako moja ndani ya mwaka mzima ndio utajua kuwa unachouliza ni kitu ambacho hukifahamu.kama ingelikuwa uniform ingekuwa sawa .
 
Kweli mimi sijui kiswahili emu nambie maana ya neno "nadhifu" maelezo yakiendana na maono yako
 
Jf inakuwaga na katabia fulani hivi cha kufuata bendera kwenye uzi..wengi humu wanamuona mleta mada mjinga wakati ana claim mambo ya msingi kabisa.

Media zinazojitambua zina hadi saloon na makeup studio,sasa mnachoshangaa mleta mada kusemea hii kero ya unadhifu ni nini?..

Na presenters kurudia nguo kwa show inayoruka weekly ni kosa kubwa sana..Freshness ndo kitu kinachohitajika.
 
Huwezi amini jamaa wako humu,wanaona jamaa jinsi anavyowasagia kunguni.
 
Jf inakuwaga na katabia fulani hivi cha kufuata bendera kwenye uzi..wengi humu wanamuona mleta mada mjinga wakati ana claim mambo ya msingi kabisa.

Media zinazojitambua zina hadi saloon na makeup studio,sasa mnachoshangaa mleta mada kusemea hii kero ya unadhifu ni nini?..

Na presenters kurudia nguo kwa show inayoruka weekly ni kosa kubwa sana..Freshness ndo kitu kinachohitajika.
Mzee inabidi ujengewe sanamu .Tanzania tungekuwa na vijana Kama wewe kumi tu now tungekuwa super power
 
Back
Top Bottom