Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
- Thread starter
- #101
Unashida somewhere sio bureKumbe mke wako ni mzee? Duh! Pole! Kwani una umri gani hadi uwe na mke kikongwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashida somewhere sio bureKumbe mke wako ni mzee? Duh! Pole! Kwani una umri gani hadi uwe na mke kikongwe!
Mashuka, we unarudia vitu gani?Nguo au matambaa ya mitumba hayo ...
Usiingilie uhuru wa mtuWapunguze kuvaa mabaibui
Mara Nyingi binadamu tumekuwa watu wakutafuta nani tumrushie Kosa, ni vigumu sana sisi binafsi kujiweka kwenye sehemu ya tatizo, matatizo yote huwa tunaangalia sehemu gani tuiweke.Sio uchawi mkuu Mimi ni mfatiliaji Sana wa vipindi vyao na Kiukweli ni vipindi vizuri sana tatizo pamba babaaa Yani pamba hzohizo daily basi Bora hata waazime sikumoja moja
Mark na Bill gate ukitoa utajiri wao, sifa ingine ni uvaaji wao wa nguo za kawaida kabisa tena wakionekana kuzirudia mara kadhaa.Azama Media ni moja ya kituo kikubwa ambacho kimeleta mabadiliko makubwa katika tasnia yetu ya habari hapa nchini.
Mzee hebu kwanza elewa mada husika hapa hatuzungumziii mavazi na personality ya mtu binafsi tunazungumzia katika mukhtadha wa ubora na hadhi ya kipindi hasa tv shows Yani ni mfano wa mavazi rasmi katika tukio rasmi .Mark na Bill gate ukitoa utajiri wao, sifa ingine ni uvaaji wao wa nguo za kawaida kabisa tena wakionekana kuzirudia mara kadhaa.
Watangazaji wa Azam Media washitumiwa uvaaji wao wa kurudia nguo, hata kama iko hivyo just live your life waachie Maisha yao. Hiyo picha uitoe ni kuwadhalilisha ingawaje wengine swala la mavazi hatulipimi kama kiwango cha thamani ya mtu.
Take a note, ukipevuka ki fikra "nguo haitakufanya upendeze bali nguo utaifanya ipendeze".
Kama ni hivyo kawaambie walengwa direct nafikiri kampuni kubwa kama hiyo lazima iwe na utaratibu uliowazi wa kutoa maoni na mapendekezo, Ila ulivyolileta huku haitasaidia kitu zaidi ya kuwashushia heshima.Mzee hebu kwanza elewa mada husika hapa hatuzungumziii mavazi na personality ya mtu binafsi tunazungumzia katika mukhtadha wa ubora na hadhi ya kipindi hasa tv shows Yani ni mfano wa mavazi rasmi katika tukio rasmi .
Azama Media ni moja ya kituo kikubwa ambacho kimeleta mabadiliko makubwa katika tasnia yetu ya habari hapa nchini.
Wamekuwa wabunifu katika vipindi, ubora wa picha na mpangilio mzuri wa vipindi na wingi wa channel nzuri katika king'amuzi chao, hongereni kwa hilo.
Kero ya watu wengi na wapenzi wa Azam Media ni kwamba watangazaji wengi wamekuwa wakirudiarudia nguo, yaani mpaka inakuwa kero, kuna kipindi cha Ndani ya Boksi Azam 2 na Mkanda, yaani watangazaji hawapendezi kabisa na kila nguo zinarudiwa kila wiki, hadi inaboa kwakweli.
Azam TV ni brand kubwa kwa nini kusiwe na uwekezaji katika suala hilo au watangazaji wasijiongeze kuingia mikataba na kampuni za nguo sababu hata media nyingine huwa wanafanya hivyo.
Inakera vipindi ambavyo unatamani kuona presenter akiwa smart unaona anarudia nguo ya wiki iliyopita, jamani badilikeni inaboa sana.
Nashkuru wameona na wamelifanyia kazi na nimeona mtangazaji wao kapiga kijembe kwamba Leo wamependeza au warudie tena? Shukran kwa uongozi wa Azam tv tunataka maendeleo sababu hii ndio media yetu ya kujivunia East Africa.Waziri wa madini hii mada inadharilisha uongozi wa azam ungejaribu kuwafuata ukawaeleza. Hapa ni kama unawasagia kunguni.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Mzee wamefanyia kazi maoni kwahiyo tuwaache kwanza wapumue na watuletee vipindi vizuri sisi walipiaji wa visimbuzi.Weka picha tuone marudio ya nguo
Nimeona leo wamepiga kijembe lakini uzuri wamebadilika maana kwakweli walikuwa wanatuboa ,Leo wakosmart Yani mtu unapata hadi raha ya kuwaangalia.
Wewe inakuhusu nini wao kurudia nguo, Mambo ya hovyo sana haya. Hizi ni tabia za kina mama wakiwa uko kwenye Masherehe, kuangalia flani kavaaje, karudia au mpya ?, ya bei gani?. Musi tuletee maswala hayo ya kipumbavu katika Studio za Matangazo, Angalau ungesema kavaa nguo chafu au imechanika pengine, ila kurudia nguo?. Wewe mke wake au ulimnunulia hadi umpangie?.Azama Media ni moja ya kituo kikubwa ambacho kimeleta mabadiliko makubwa katika tasnia yetu ya habari hapa nchini.
Wamekuwa wabunifu katika vipindi, ubora wa picha na mpangilio mzuri wa vipindi na wingi wa channel nzuri katika king'amuzi chao, hongereni kwa hilo.
Kero ya watu wengi na wapenzi wa Azam Media ni kwamba watangazaji wengi wamekuwa wakirudiarudia nguo, yaani mpaka inakuwa kero, kuna kipindi cha Ndani ya Boksi Azam 2 na Mkanda, yaani watangazaji hawapendezi kabisa na kila nguo zinarudiwa kila wiki, hadi inaboa kwakweli.
Azam TV ni brand kubwa kwa nini kusiwe na uwekezaji katika suala hilo au watangazaji wasijiongeze kuingia mikataba na kampuni za nguo sababu hata media nyingine huwa wanafanya hivyo.
Inakera vipindi ambavyo unatamani kuona presenter akiwa smart unaona anarudia nguo ya wiki iliyopita, jamani badilikeni inaboa sana.
Huwa munaangali Vipindi au Kuwadadisi wawasilishaji?.Nimeona leo wamepiga kijembe lakini uzuri wamebadilika maana kwakweli walikuwa wanatuboa ,Leo wakosmart Yani mtu unapata hadi raha ya kuwaangalia.
bosi mbona kama imekutachi sana hii ni mmoja wapo nnWewe inakuhusu nini wao kurudia nguo, Mambo ya hovyo sana haya. Hizi ni tabia za kina mama wakiwa uko kwenye Masherehe, kuangalia flani kavaaje, karudia au mpya ?, ya bei gani?. Musi tuletee maswala hayo ya kipumbavu katika Studio za Matangazo, Angalau ungesema kavaa nguo chafu au imechanika pengine, ila kurudia nguo?. Wewe mke wake au ulimnunulia hadi umpangie?.
Kwani usmart maana yake ni kutokurudia nguo ?Inakera vipindi ambavyo unatamani kuona presenter akiwa smart unaona anarudia nguo ya wiki iliyopita,