Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
- Thread starter
- #41
Sawa mtangazaji wa Azam lete ufafanuzi Sasa.Kimsingi hivyo unavotaja ni 'recorded' programs, Nina ufafanuzi ila nitarejea hivi punde![emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mtangazaji wa Azam lete ufafanuzi Sasa.Kimsingi hivyo unavotaja ni 'recorded' programs, Nina ufafanuzi ila nitarejea hivi punde![emoji3]
OkeyHiko hivi personality ni kitu kikubwa Sana hasa linapokuja swala la kuwa unaangaliwa na watu zaidi ya milioni 60 jambo kubwa ni kwamba wanatakiwa wapokee ushauri then waufanyie kazi mbona hatuoni Mambo hayo ktk media zingine tena ni changa tu unakuta mapresenters wanaingia mikataba na maduka ya nguo na wanakuwa smart na dressing code husika za kipindi husika.
Lakini ukiwaacha wavae nguo zao za nyumbani Kama wanavyofanya azam tv ndio balaa linapokuja hapo wengine hawajali kuhusu mwonekano.MBONA KWA WATANGAZAJI WA VIPINDI VYA MICHEZO WA HAPO AZAM WANAJITAHIDI KIASI NA SUTI ZAO ZILE ZA KINA AHMED ALLIY KWA SABABU WANAWEKEWA UNIFORM KUNA KUWA NA AFADHALI SIO HAWA WA AZMA TWO NA SINEMA ZETU NI AIBU.
Unata burka!? Yakuficha uso!?Wapunguze kuvaa mabaibui
Mh huko Mimi sipo cos ninavyojua kila kipindi kina dressing code yake na mabaibui mm sijayaona hapo labda shungi na kwa upande wa ushungi ni kitu Cha kawaida tu hata mama anavaa na anapendeza Sana.Wapunguze kuvaa mabaibui
Inatuuma Sana tu sababu tunalipia visimbuzi vyetu wewe Kama haikuumi kaa kimya.Kwani nyie inawauma nini?
Alokwambia unadhifu ni kuvaa nguo mpya kila siku ni nani?Acha ushamba Basi wewe mnyaturu kumbuka Ile ni media na pia vipindi wanavyofanya ni tv shows so wanatakiwa kuwa nadhifu
Muda ninaotazama kipindi ndio muda huo ninagundua kuwa nguo imerudiwa.Sikutarajia mtu Kama wewe kuuliza swali la kipuuzi Kama hili.umepataje muda wa kuchunguza nguo za watu
Nafkiri unatakiwa ujifunze lugha ya kiswahili nini maana ya unadhifu.Au kwa mfano hai jaribu kuvaa nguo yako moja ndani ya mwaka mzima ndio utajua kuwa unachouliza ni kitu ambacho hukifahamu.kama ingelikuwa uniform ingekuwa sawa .Alokwambia unadhifu ni kuvaa nguo mpya kila siku ni nani?
tunasubiri ufafanuzi maana wewe ni wa jikoni kabisaKimsingi hivyo unavotaja ni 'recorded' programs, Nina ufafanuzi ila nitarejea hivi punde!
Kweli mimi sijui kiswahili emu nambie maana ya neno "nadhifu" maelezo yakiendana na maono yakoNafkiri unatakiwa ujifunze lugha ya kiswahili nini maana ya unadhifu.Au kwa mfano hai jaribu kuvaa nguo yako moja ndani ya mwaka mzima ndio utajua kuwa unachouliza ni kitu ambacho hukifahamu.kama ingelikuwa uniform ingekuwa sawa .
Huwezi amini jamaa wako humu,wanaona jamaa jinsi anavyowasagia kunguni.Jf inakuwaga na katabia fulani hivi cha kufuata bendera kwenye uzi..wengi humu wanamuona mleta mada mjinga wakati ana claim mambo ya msingi kabisa.
Media zinazojitambua zina hadi saloon na makeup studio,sasa mnachoshangaa mleta mada kusemea hii kero ya unadhifu ni nini?..
Na presenters kurudia nguo kwa show inayoruka weekly ni kosa kubwa sana..Freshness ndo kitu kinachohitajika.
Mzee inabidi ujengewe sanamu .Tanzania tungekuwa na vijana Kama wewe kumi tu now tungekuwa super powerJf inakuwaga na katabia fulani hivi cha kufuata bendera kwenye uzi..wengi humu wanamuona mleta mada mjinga wakati ana claim mambo ya msingi kabisa.
Media zinazojitambua zina hadi saloon na makeup studio,sasa mnachoshangaa mleta mada kusemea hii kero ya unadhifu ni nini?..
Na presenters kurudia nguo kwa show inayoruka weekly ni kosa kubwa sana..Freshness ndo kitu kinachohitajika.
kweli kabisa,We unajua mtu akifanya kazi azam basi ndo ana mihela ila ukweli wanalipwa hela ya kawaida sana pale azam malipo hayaendani na brand.