Watangazaji wa Azam TV wamekuwa wakirudia nguo

Sio uchawi mkuu Mimi ni mfatiliaji Sana wa vipindi vyao na Kiukweli ni vipindi vizuri sana tatizo pamba babaaa Yani pamba hzohizo daily basi Bora hata waazime sikumoja moja
Mara Nyingi binadamu tumekuwa watu wakutafuta nani tumrushie Kosa, ni vigumu sana sisi binafsi kujiweka kwenye sehemu ya tatizo, matatizo yote huwa tunaangalia sehemu gani tuiweke.

Kwa uchambuzi wangujicho pana kidogo, naona hata kama wao wanashida ila na wewe pia una shida; Kipindi kina content husika, nilitegemea uwe umefocus kwenye content za kipindi, ila wewe umefocus kwa wahusika, tatizo lipo kwako;

Mfano; Kuna mtu anaweza kuwa amevaa nguo fupi, akawa gumzo mjini, lakini katikati ya gumzo kuna watu bado wanaweza hata wasinotice, maana attention yao haipo huko.
 
Azama Media ni moja ya kituo kikubwa ambacho kimeleta mabadiliko makubwa katika tasnia yetu ya habari hapa nchini.
Mark na Bill gate ukitoa utajiri wao, sifa ingine ni uvaaji wao wa nguo za kawaida kabisa tena wakionekana kuzirudia mara kadhaa.

Watangazaji wa Azam Media washitumiwa uvaaji wao wa kurudia nguo, hata kama iko hivyo just live your life waachie Maisha yao. Hiyo picha uitoe ni kuwadhalilisha ingawaje wengine swala la mavazi hatulipimi kama kiwango cha thamani ya mtu.

Take a note, ukipevuka ki fikra "nguo haitakufanya upendeze bali nguo utaifanya ipendeze".
 
Mzee hebu kwanza elewa mada husika hapa hatuzungumziii mavazi na personality ya mtu binafsi tunazungumzia katika mukhtadha wa ubora na hadhi ya kipindi hasa tv shows Yani ni mfano wa mavazi rasmi katika tukio rasmi .
 
Mzee hebu kwanza elewa mada husika hapa hatuzungumziii mavazi na personality ya mtu binafsi tunazungumzia katika mukhtadha wa ubora na hadhi ya kipindi hasa tv shows Yani ni mfano wa mavazi rasmi katika tukio rasmi .
Kama ni hivyo kawaambie walengwa direct nafikiri kampuni kubwa kama hiyo lazima iwe na utaratibu uliowazi wa kutoa maoni na mapendekezo, Ila ulivyolileta huku haitasaidia kitu zaidi ya kuwashushia heshima.
 
Waziri wa madini hii mada inadharilisha uongozi wa azam ungejaribu kuwafuata ukawaeleza. Hapa ni kama unawasagia kunguni.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa madini hii mada inadharilisha uongozi wa azam ungejaribu kuwafuata ukawaeleza. Hapa ni kama unawasagia kunguni.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Nashkuru wameona na wamelifanyia kazi na nimeona mtangazaji wao kapiga kijembe kwamba Leo wamependeza au warudie tena? Shukran kwa uongozi wa Azam tv tunataka maendeleo sababu hii ndio media yetu ya kujivunia East Africa.
 
Wewe inakuhusu nini wao kurudia nguo, Mambo ya hovyo sana haya. Hizi ni tabia za kina mama wakiwa uko kwenye Masherehe, kuangalia flani kavaaje, karudia au mpya ?, ya bei gani?. Musi tuletee maswala hayo ya kipumbavu katika Studio za Matangazo, Angalau ungesema kavaa nguo chafu au imechanika pengine, ila kurudia nguo?. Wewe mke wake au ulimnunulia hadi umpangie?.
 
Nimeona leo wamepiga kijembe lakini uzuri wamebadilika maana kwakweli walikuwa wanatuboa ,Leo wakosmart Yani mtu unapata hadi raha ya kuwaangalia.
Huwa munaangali Vipindi au Kuwadadisi wawasilishaji?.
 
bosi mbona kama imekutachi sana hii ni mmoja wapo nn
 
Inakera vipindi ambavyo unatamani kuona presenter akiwa smart unaona anarudia nguo ya wiki iliyopita,
Kwani usmart maana yake ni kutokurudia nguo ?


Hiyo nguo unayoilalamikia kairudia,je mara ya kwanza alipovaa alikuwa smart ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…