Watangazaji wa EFM Radio Wahamasishana Kununua Malaya Kahumba Morogoro

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
TCRA ndio inatulea hivi, wanao present mambo ya maana media zao zinapewa onyo na kufungiwa, haya sasa leo EFM wanahamasishana kuwa wakifika kwenye Marathon ya tarehe 20 June wakishamaliza kukimbia wataenda kununua malaya Kahumba Morogoro.

Maudhui hayo yaliruka leo majira ya saa tano na dakika 49 nakuendelea. Hongereni TCRA.
 
Ndyo wanaotaka tcra.hawataki negative za serikali wanataka media zote ziipe habari ya samia na kusifu watekaji wa ccm
 
Wao wadili0na watu wanaoikosoa gavoo tu ayo ya umalaya angaiken nayo wenyewe
 
Vituo vya kijinga sio vyakusikiliza, ukiona singeli ndio mziki wao mkuu, ukiona hivyo ujue vichwa vyao huko studio ni matope matupu.
 
Sasa hayo ndio mambo pendwa ambayo ccm wanataka yajadiliwe kwenye vyombo vya habari, ili muendelee kuwa matahira.
 
Yeah nilisikia. Natafuta clip yake siooni. Wapumbavu sana wale.
 
Aisee
 
Kahumba mbona ilishafungwa kitambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…