Watangazaji wa Habari wa ITV na TBC muwe mnavaa nguo za heshima, maumbo yenu yanatutamanisha watazamaji

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Hope wazima wana JF,

Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku, nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV. Baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka, yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia. Nimeenda Instagram kutafuta account yake sijaipata.

Kuna mtangazaji fulani wa kike TBC ni mzuri ni zire pisi kali, sijui kaolewa anavaa vimini fulani hivi.

Bora azam tv watangazaji wapo kimaadili zaidi na wanavaa nguo za heshima

Watangazaji mjitahidi kuvaa nguo za heshima, mnajua habari ni kitu serious sasa mnatutoa kwenye mood watazamaji.

Mpaka watazamaji tunajiuliza hii ni habari kweri au ni fashion show
 
πŸ€£πŸ˜‚ Huyo wa Itv jina lake kama fa,,,, mi,,l 😁 ndo naona akienda kukaa ila mkuu mke wa mtu huyo sjiui
 
Nyege zako usizozidhibiti ipo zitakufanya Ubake hata Kifaranga cha Kuku au Bata. Kuwa makini!!!
 
Umbo namba 8 ndio nini acha uhuni kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…