Watangazaji wa Habari wa ITV na TBC muwe mnavaa nguo za heshima, maumbo yenu yanatutamanisha watazamaji

Hope wazima wana JF,

Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku, nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV. Baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka, yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia. Nimeenda Instagram kutafuta account yake sijaipata.

Kuna mtangazaji fulani wa kike TBC ni mzuri ni zire pisi kali, sijui kaolewa anavaa vimini fulani hivi.

Bora azam tv watangazaji wapo kimaadili zaidi na wanavaa nguo za heshima

Watangazaji mjitahidi kuvaa nguo za heshima, mnajua habari ni kitu serious sasa mnatutoa kwenye mood watazamaji.

Mpaka watazamaji tunajiuliza hii ni habari kweri au ni fashion show
Picha ziko wapi
 
Hao ITV hiyo tabia ya kusoma muhtasari halafu mtangazaji anatugeuzia makalio kwenda kuketi haifai.

Tena Odana Madai ndiye haswa awe anaketi tu anapotezea watu concentration.
Mkuu sikupingi ni ukweri kabisa,wasoma habari wa zamani tulikuwa tumawaona juu tu
Betty mkwasa
Salma nyangaza
Na wengine kibao
Ila Hawa wa saizi sijui ndo kivutio watalii tuone jinsi walivyo na maumbo
 
images (9).jpeg
 
Hope wazima wana JF,

Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku, nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV. Baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa anaenda kukaa kwenye meza alivyogeuka, yule dada ana umbo jamani, nyuma kajazia. Nimeenda Instagram kutafuta account yake sijaipata.

Kuna mtangazaji fulani wa kike TBC ni mzuri ni zire pisi kali, sijui kaolewa anavaa vimini fulani hivi.

Bora azam tv watangazaji wapo kimaadili zaidi na wanavaa nguo za heshima

Watangazaji mjitahidi kuvaa nguo za heshima, mnajua habari ni kitu serious sasa mnatutoa kwenye mood watazamaji.

Mpaka watazamaji tunajiuliza hii ni habari kweri au ni fashion showView attachment 2577289View attachment 2577291View attachment 2577292

"Watangazaji wa Habari wa ITV na TBC muwe mnavaa nguo za heshima, maumbo yenu yanatutamanisha watazamaji"​

Back
Top Bottom