Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari now days Kama fashion showWapo 'kazini'
Sijui yuko wapi maana mimi mwenyewe nina muda mrefu sijaangalia tv, enzi hizo nipo nyumbani nimetulia tu sina ishu nyumbani nilikuwa nashinda naangalia tv hadi nikawajua akina Naga Munchetty, Martine Dennis ambaye kwa sasa yupo Aljazeera na Aaron Heslehurst aliyekuwa anatatangaza habari za biashara.Dadeki umenikumbusha mbali mkuu ,HV yule bint Yuko wapi aisee kitambo Sana sijamuona au katutwa kazi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapo umecheza, mi kila pisi kali ikipita nikiwa wa wife najifanya mlokole kumzidi mtume paulosaa moja kamili subiri habari za biashara dah yule ukipata namba zake unipe aisee hadi wife anamsifia nikajifanya namponda😀😀😀😅😀