Sijui yuko wapi maana mimi mwenyewe nina muda mrefu sijaangalia tv, enzi hizo nipo nyumbani nimetulia tu sina ishu nyumbani nilikuwa nashinda naangalia tv hadi nikawajua akina Naga Munchetty, Martine Dennis ambaye kwa sasa yupo Aljazeera na Aaron Heslehurst aliyekuwa anatatangaza habari za biashara.