CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Futa sheitwani please makosa ya mtandao....kiddingTBC siyo peace tv wala TV Imaan..waende huko kama wanatamani hayo mavazi...watuondolee udini wao mashetwani hao...hata TVZ wanaweza kuhamia huko...don't bother us
Mavazi ya kidini hayapo ila kuna mavazi ya stara na heshima hayo ndo huvaliwa na watu wanaomuogopa MUNGU si wengine bali ni muslim,mfumo kristo una mwisho wake.Mavazi ya kidini yavaliwe huko huko kwenye dini zenu.
Mwishoni na wanajeshi watataka uniform za kidini
Mkuu wapi kwenye andiko langu umeona nimetaja neno hijab? nitake radhikuvaa hijab ndo ufirauni?unasema tanzania?kwa umri ulionao umeona hijab tanzania pekee?tumia akili yako vizur.
Jamani sorry kwa hilo neno..I wish kama ningeweza kulifuta...nimetafakari baada ya kuliweka...hope wengi mmenielewa na kunisamehe..nilihemka kama maCCMFuta sheitwani please makosa ya mtandao....kidding
rafiki tafuta hiyo post yako edit, then utafuta. Usiogope hujamtaja mtu. nJamani sorry kwa hilo neno..I wish kama ningeweza kulifuta...nimetafakari baada ya kuliweka...hope wengi mmenielewa na kunisamehe..nilihemka kama maCCM
Endelea kuota,kama madrasa wanakufunza haya basi umepotokwa shekh.Mavazi ya kidini hayapo ila kuna mavazi ya stara na heshima hayo ndo huvaliwa na watu wanaomuogopa MUNGU si wengine bali ni muslim,mfumo kristo una mwisho wake.
Makamu wa rais na baadhi ya mawaziri wanawake huwa wanavalia hijjab majumbani mwao?Fooli.shMavazi ya kidini yavaliwe huko huko kwenye dini zenu.
Mwishoni na wanajeshi watataka uniform za kidini
Nadhani wewe ni mwanasheria! and one can not drive it to "by necessary implication"! BravoMkuu mi katika andiko langu hakuna mahali nimetaja neno nguo au hijab
Tanzania tulifanya kosa kubwa sana kurusu huu ufirauni,miaka ya nyuma hakukuwa na upuuzi huu,siku hizi hadi mashuleni,taabu kweli!
Watembea uchi ndo unawapenda si ndiyo?Ndo maana baadhi ya makanisa wanawake huvaa vinguo vyenye kutamanisha na huishia kutafunana na waumini uchwara ama kutafunwa na mapadre/wachungaji.Tanzania tulifanya kosa kubwa sana kurusu huu ufirauni,miaka ya nyuma hakukuwa na upuuzi huu,siku hizi hadi mashuleni,taabu kweli!
A nun is not under the gun, she will never be stoned to death by failing to wear hijab
Kivp mkuu ebu fafanua kidogoUkiwafuatilia kwa karibu Sana hawa wanaojidai wako wanajali Sana huu mwezi..unaweza ukaugua na kufa
Back to the TopicA nun is not under the gun, she will never be stoned to death by failing to wear hijab
Soma vizuri andiko langu harafu unioneshe mahala nimeongelea mavazi/nguo.Watembea uchi ndo unawapenda si ndiyo?Ndo maana baadhi ya makanisa wanawake huvaa vinguo vyenye kutamanisha na huishia kutafunana na waumini uchwara ama kutafunwa na mapadre/wachungaji.
Jr, watu wanakurupuka!Soma vizuri andiko langu harafu unioneshe mahala nimeongelea mavazi/nguo.