Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

Kosa lipi kwani upo kwenye nyumba/ maadili ya dini? Kesho na walokole wakija na kuvaa majani ya migomba kuwa wameagizwa na "yesu" itakuwaje?
Mawazo yako yakitoto sana basi fikilia kidogo we nikilaza ambaye magufuli analutafuta
 
Dress code za TBC zinasemaje kuhusu vazi la hujabu? Tena wangekua wanavaa hata kama sio wakati wa mwezi Ramadhan. Nafikiri kila sehemu ya kazi inasheria zake zinazotoa muongozo wa mavazi yapi yanatakiwa wakati wa kazi na yapi hayapaswi kuvaliwa. Je, ni busara kuruhusu uvaaji wa nguo za kubana au fupi na kukataza hijabu? Ndio maana nasisitiza dress code ya TBC na busara zitumike.
 
TBC siyo peace tv wala TV Imaan..waende huko kama wanatamani hayo mavazi...watuondolee udini wao mashetwani hao...hata TVZ wanaweza kuhamia huko...don't bother us
Una mawazo mazuri lakini kwa wajinga wenzako , mbona kuna watu tunaona wamevaa rozali lakini hawaingiliwi wala hawa semewi chochote ? Kweli magufuli anaongoza vilaza aendelee tu kuwabuluza
 
Najuwa we sio mtafiti ndio sababu unachangia hivyo polisi Wa somalia Wanawake wanavaa hijabu , so usikalili kilakitu ukilaza uwo
Somalia is Islamic, but not Tanzania. Hata kwa sentinsi fupi kama hii utaashindwa kuelewa, itabidi tukurudishe chekechea
 
Huwa nawashangaa sana hawa waislamu ambao ikifika mwezi mtukufu ndio wanajidai wanashika dini na kutaka kila mtu anataka awaone wao kuwa ni waislam. Huu ni ushenzi wa hali ya juu, kama wewe ni mwislamu kweli mbna usiuonyeshe uislamu wako siku zote? Ni unafki mbele za allah, wakatazwe kabisa kuvaa na ikiwezekana wafukuzwe kazi
Mawazo finyu hayo we ni mmoja Wa vilaza mnao tafutwa na magu
 
Najuwa we sio mtafiti ndio sababu unachangia hivyo polisi Wa somalia Wanawake wanavaa hijabu , so usikalili kilakitu ukilaza uwo
Somalia is Islamic, but not Tanzania. Hata kwa sentinsi fupi kama hii utaashindwa kuelewa, itabidi tukurudishe chekechea
 
(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)

TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE.

Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma baada ya uongozi kuwataka kuvua hijab wanapotangaza.

Ieleweke ya kuwa wengi wao hupenda kuvaa hijab hususan katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani. Taarifa zinadai kesho asubuhi kuna kikao kujua hatma yao.

TBC TV ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zinazotokana na wananchi wa Tanzania ambao Waislam ni sehemu ya walipa kodi.

Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..
watangazaji wa aljazeera ndio waliwahi kugoma na kuacha kazi kwa issue kama hii ya utaratibu wa mavazi, ila naona wewe umeamua kutunga story yako binafsi sasa:
click here:Qatar: Quarrel over dress code at al-Jazeera indication of ideological conflict | Women Reclaiming and Redefining Cultures
6b2c12388fe049659f74f7735bed6bc2_18.jpg
 
uelewa ni kitu muhim kwetu wanaadam jaribu kuelewa mavazi sio dini sawa mkuu mbona pope anavaa kanzu kwani ni muislam elewa mavazi tena ya stara
 
Hata mimi kitu hiki kinanishangaza sana!! Shule za,Serikali kwa mfano upande wa wasichana uwezi kujua uniform inayo ruhusiwa ni hipi hasa - ni vurugu tupu.
Kweli nimeamini Tanzania in watu ambao hawaja elimika kabisa na hawawezi kujenga hoja , jalibuni basi hata kupitia katiba muone inasemaje kuhusu dini , kama hamjui kusoma semeni
 
Najuwa we sio mtafiti ndio sababu unachangia hivyo polisi Wa somalia Wanawake wanavaa hijabu , so usikalili kilakitu ukilaza uwo
Najuwa we sio mtafiti ndio sababu unachangia hivyo polisi Wa somalia Wanawake wanavaa hijabu , so usikalili kilakitu ukilaza uwo
Somalia is Islamic, but not Tanzania. Hata kwa sentinsi fupi kama hii utaashindwa kuelewa, itabidi tukurudishe chekechea
 
Somalia is Islamic, but not Tanzania. Hata kwa sentinsi fupi kama hii utaashindwa kuelewa, itabidi tukurudishe chekechea
Lini somalia imetangazwa kama nchi ya kislam acha uzushi wew , na unalopoka tu , hayaniambie makamu Wa raisi Tanzania naye vipi au tz ni nchi ya kislam pia ? Wekilaza kweli
 
Back
Top Bottom