Mawazo yako yakitoto sana basi fikilia kidogo we nikilaza ambaye magufuli analutafutaKosa lipi kwani upo kwenye nyumba/ maadili ya dini? Kesho na walokole wakija na kuvaa majani ya migomba kuwa wameagizwa na "yesu" itakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo yako yakitoto sana basi fikilia kidogo we nikilaza ambaye magufuli analutafutaKosa lipi kwani upo kwenye nyumba/ maadili ya dini? Kesho na walokole wakija na kuvaa majani ya migomba kuwa wameagizwa na "yesu" itakuwaje?
Mbona wale watangazaji wa CITIZEN TV Kenya wanatangaza wakiwa na Hijab na wapo vizuri tu.Hebu tujulishwe wakivaa hijab kuna uharibifu gani unatokea?Hata kuendesha gari na makobazi ni marufuku. Sijui hii kule visiwani imekaaje!
Somalia is Islamic, but not TanzaniaNajuwa we sio mtafiti ndio sababu unachangia hivyo polisi Wa somalia Wanawake wanavaa hijabu , so usikalili kilakitu ukilaza uwo
Una mawazo mazuri lakini kwa wajinga wenzako , mbona kuna watu tunaona wamevaa rozali lakini hawaingiliwi wala hawa semewi chochote ? Kweli magufuli anaongoza vilaza aendelee tu kuwabuluzaTBC siyo peace tv wala TV Imaan..waende huko kama wanatamani hayo mavazi...watuondolee udini wao mashetwani hao...hata TVZ wanaweza kuhamia huko...don't bother us
Somalia is Islamic, but not Tanzania. Hata kwa sentinsi fupi kama hii utaashindwa kuelewa, itabidi tukurudishe chekecheaNajuwa we sio mtafiti ndio sababu unachangia hivyo polisi Wa somalia Wanawake wanavaa hijabu , so usikalili kilakitu ukilaza uwo
Mawazo finyu hayo we ni mmoja Wa vilaza mnao tafutwa na maguHuwa nawashangaa sana hawa waislamu ambao ikifika mwezi mtukufu ndio wanajidai wanashika dini na kutaka kila mtu anataka awaone wao kuwa ni waislam. Huu ni ushenzi wa hali ya juu, kama wewe ni mwislamu kweli mbna usiuonyeshe uislamu wako siku zote? Ni unafki mbele za allah, wakatazwe kabisa kuvaa na ikiwezekana wafukuzwe kazi
Somalia is Islamic, but not Tanzania. Hata kwa sentinsi fupi kama hii utaashindwa kuelewa, itabidi tukurudishe chekecheaNajuwa we sio mtafiti ndio sababu unachangia hivyo polisi Wa somalia Wanawake wanavaa hijabu , so usikalili kilakitu ukilaza uwo
watangazaji wa aljazeera ndio waliwahi kugoma na kuacha kazi kwa issue kama hii ya utaratibu wa mavazi, ila naona wewe umeamua kutunga story yako binafsi sasa:(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)
TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE.
Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma baada ya uongozi kuwataka kuvua hijab wanapotangaza.
Ieleweke ya kuwa wengi wao hupenda kuvaa hijab hususan katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani. Taarifa zinadai kesho asubuhi kuna kikao kujua hatma yao.
TBC TV ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zinazotokana na wananchi wa Tanzania ambao Waislam ni sehemu ya walipa kodi.
Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..
serikali.Mwajiri wao ni nan?
kwani nywele ni uchi? kama ndio basi umeshawahi kuuona wa mama yako na bibi yako na shangazi zakokama haamini katika dini anaamini katika mavazi ya heshima, ni vazi
vazi LA nini??? hata pedi ni vaziwewe ndio unaonekana una udini, liite vazi tu inatosha
Soma MadaMaamuzi ya MTU, kumbuka kuna Uhuru Wa kuabudu pia kuna haki za binadam , unavyo uliza hivyo unamaanisha nini ?
Kweli nimeamini Tanzania in watu ambao hawaja elimika kabisa na hawawezi kujenga hoja , jalibuni basi hata kupitia katiba muone inasemaje kuhusu dini , kama hamjui kusoma semeniHata mimi kitu hiki kinanishangaza sana!! Shule za,Serikali kwa mfano upande wa wasichana uwezi kujua uniform inayo ruhusiwa ni hipi hasa - ni vurugu tupu.
Nakuuliza wew , hayo maoni yakoSoma Mada
Najuwa we sio mtafiti ndio sababu unachangia hivyo polisi Wa somalia Wanawake wanavaa hijabu , so usikalili kilakitu ukilaza uwo
Somalia is Islamic, but not Tanzania. Hata kwa sentinsi fupi kama hii utaashindwa kuelewa, itabidi tukurudishe chekecheaNajuwa we sio mtafiti ndio sababu unachangia hivyo polisi Wa somalia Wanawake wanavaa hijabu , so usikalili kilakitu ukilaza uwo
Hata masister kanisani wanavaa hijab. Swali zuri hili la kuwauliza.kwani nywele ni uchi? kama ndio basi umeshawahi kuuona wa mama yako na bibi yako na shangazi zako
Lini somalia imetangazwa kama nchi ya kislam acha uzushi wew , na unalopoka tu , hayaniambie makamu Wa raisi Tanzania naye vipi au tz ni nchi ya kislam pia ? Wekilaza kweliSomalia is Islamic, but not Tanzania. Hata kwa sentinsi fupi kama hii utaashindwa kuelewa, itabidi tukurudishe chekechea
yap...Hata masister kanisani wanavaa hijab. Swali zuri hili la kuwauliza.