Je mavazi ndio dini?serikali.
Je serikali ya Tanzania INA dini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je mavazi ndio dini?serikali.
Je serikali ya Tanzania INA dini?
Soma Mada acha kiburi. Ndo maana huwa mnafeliNakuuliza wew , hayo maoni yako
The official languages of Somalia are Somali andLini somalia imetangazwa kama nchi ya kislam acha uzushi wew , na unalopoka tu , hayaniambie makamu Wa raisi Tanzania naye vipi au tz ni nchi ya kislam pia ? Wekilaza kweli
Kweli aisee.TBC siyo peace tv wala TV Imaan..waende huko kama wanatamani hayo mavazi...watuondolee udini wao mashetwani hao...hata TVZ wanaweza kuhamia huko...don't bother us
Hijabu zao za msimu hao.Ramadhan ikiisha na hijab inafungiwa kabatini.Kama ni kweli,Jana nilimwona Asha Haji katupia hijab nyekundu.Kiukweli alikua hajapendeza kabisa, na huenda kuna watu walitoa taarifa uongozi wa TBC, kwani aliifunga ka mtu ambaye hajui inafungwaje na kuvaliwaje.
Nadhani inabidi Zuhra Yunus apewe mchongo wa kuwafundisha jinsi ya kuifunga. kwani hata tai sio kila mtu anajua kuifunga.
chanzo cha habari yako maana ofisi zote za serekali hijabu hazikazwi na ukitakiwa thibitisha una ushahidi .(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)
TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE.
Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma baada ya uongozi kuwataka kuvua hijab wanapotangaza.
Ieleweke ya kuwa wengi wao hupenda kuvaa hijab hususan katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani. Taarifa zinadai kesho asubuhi kuna kikao kujua hatma yao.
TBC TV ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zinazotokana na wananchi wa Tanzania ambao Waislam ni sehemu ya walipa kodi.
Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..
hili suala la hijabu na swala maeneo ya kazi na shuleni lilisimamiwa na kitwana kondo bungeni miaka ya 90 mwishoni,lishawekewa utaratibu,TBC wanachobisha nini!?..vyombo vya habari vimekuwa na tabia ya kuwavua hijab mabinti ili wapate kazi,ukiangalia kiundani ni udini tu,hakuna hoja ya msingi ya kumzuwia mtu kuvaaSomalia is Islamic, but not Tanzania. Hata kwa sentinsi fupi kama hii utaashindwa kuelewa, itabidi tukurudishe chekechea
kuna TV nyingine zinaheshimu utu wa mwanamke, kwanini wasihamie huko?hili suala la hijabu na swala maeneo ya kazi na shuleni lilisimamiwa na kitwana kondo bungeni miaka ya 90 mwishoni,lishawekewa utaratibu,TBC wanachobisha nini!?..vyombo vya habari vimekuwa na tabia ya kuwavua hijab mabinti ili wapate kazi,ukiangalia kiundani ni udini tu,hakuna hoja ya msingi ya kumzuwia mtu kuvaa
Hijabu sio official wear.Je mavazi ndio dini?
Wakionesha utamaduni wa wazungu haina tatizo...maana ninyi wenye utamaduni wa wazungu ndio mnalipa kodi peke yenu! Halafu hijab haifichi sura kaka bali inaficha nywele...hiyo ya kininja inaitwa nikabu!!! Hivyo usijali, hata wakivaa hijabu utaendelea waona sura zao...
Babu! Elewa hili...kwanza, Kisheria tanzania ni nchi isiyokuwa na dini hivyo kila mtanzania anaruhusiwa kutekeleza tamaduni za dini yake bila kumkera mwingine! Na katika kuthibitisha hilo serikali haitopaswa kumkataza mtanzania yeyote kwenda sambamba na tamaduni ya dini yake ikiwa tu uhuru wake hautaingilia uhuru wa mwingine!Mkuki
Mkuki kwa Nguruwe hakuna shida which means Islamic way of Banking and Islamic way of TBC broadcasting.
One should ask, Where is National way of broadcasting?
Not all TBC viewers are Islam Religious beneficient .Tax sponsored organ should be proud of her sponsors (Tanzania national culture ) and not groups or religious.
That is, there should be a neutral cultural dress code where all Tanzanians national come together.
No alshabaab dress code. Yes to Tanzanian dress code.
Common sense recommend to review all contract signed by this Religious prompted personels.
And recommend them back to religious broadcasting stations where all freedom of alshabaab dress code is celebrated by the law.