Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

Ikiwa makubaliano ya mavazi hayakuainishwa kwenye mikataba yao waachiwe watimize haki yao kikatiba kama wengine. Siamini kama hii habari ni ya ukweli.
 
kwa akili za kawaida mtu akivaa hijab halafu akawa anasoma taarifa ya habari au kipindi kingine chochote kwwnye television unadhani hyo taarifa haitatazamwa na watazamaji au hicho kipindi hakitatazamwa na watazamaji ?
 
Lini somalia imetangazwa kama nchi ya kislam acha uzushi wew , na unalopoka tu , hayaniambie makamu Wa raisi Tanzania naye vipi au tz ni nchi ya kislam pia ? Wekilaza kweli
The official languages of Somalia are Somali and
Arabic , both of which belong to the
Afroasiatic family. Most people in the country are Muslim, with the majority being Sunni .

Dini inabeba utamaduni, Zanzibar hata wakitaka kutangaza wakiwa wamevaa baibui ni sawa kabisa, lakini sio huku ambako uislam uko pwani tu na kidogo Kigoma
 
wangeangalia mambo ya msingi kupitia hilo shirika lao lakin hayo ya mavazi ya stara wangeachana nalo
 
Hahaha nchi ambayo kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachotaka na hastahili kubaguliwa. Hili limeendelea kwa muda mrefu huku wengine wakijiaminisha kuwa nchi ni yao peke yao. Mpaka tuheshimiane ndio tutaendelea. Tuwaache waislam na yao, maana na wao watatukumbusha nyimbo zipigwazo ofisi za umma kila siku.
 
Tatizo hawa watangazaji wetu wa kike hizo hijab zao ni za msimu.Ramadhan ikiisha wanarudi kule kule kwenye mapigo ya Rihanna na Beyonce.Huu ni unafiki.Sijawahi kuona kwenye tv msomaji taarifa habari wa kike wa kiislamu amevaa hijabu.
 
Kama ni kweli,Jana nilimwona Asha Haji katupia hijab nyekundu.Kiukweli alikua hajapendeza kabisa, na huenda kuna watu walitoa taarifa uongozi wa TBC, kwani aliifunga ka mtu ambaye hajui inafungwaje na kuvaliwaje.

Nadhani inabidi Zuhra Yunus apewe mchongo wa kuwafundisha jinsi ya kuifunga. kwani hata tai sio kila mtu anajua kuifunga.
Hijabu zao za msimu hao.Ramadhan ikiisha na hijab inafungiwa kabatini.
 
(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)

TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE.

Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma baada ya uongozi kuwataka kuvua hijab wanapotangaza.

Ieleweke ya kuwa wengi wao hupenda kuvaa hijab hususan katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani. Taarifa zinadai kesho asubuhi kuna kikao kujua hatma yao.

TBC TV ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zinazotokana na wananchi wa Tanzania ambao Waislam ni sehemu ya walipa kodi.

Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..
chanzo cha habari yako maana ofisi zote za serekali hijabu hazikazwi na ukitakiwa thibitisha una ushahidi .

mind u fanya mambo haya ukiwa na uhakika mwenzako Arusha leo kahukumiwa miaka 3 au faini ml 7 ntakushughlikia.
 
mkianza kung'olewa meno bila ganzi mnasema mnaonewa fanya siasa zako ila si kwenye dini zetu.
 
Yaani wakristo hii chuki yenu inatisha kwakweli! Sijui kwakuwa dini yenu ni ya kutungwa tu wazungu! Wamewaletea wao wamerudi zao ulaya kuponda maisha, hakuna mzungu anaye care khs ukristo!ila miafrika mzee! Hao wayahudi wenyewe ambao yesu kazaliwa kwao hakuna mkristo, tena wanasema wazi ukristo umetungwa tu na wazungu
 
Duh!....boresho kubwa la kwanza la Dr professor Ayub Rioba
Pili Toa wale wa mama wanene
Tatu Toa wamama wenye kuonyesha matiti yao
Nne piga marufuku video za Vannesa Mdee akionyesha chupi zake

. Huyawezi mazee yatakushinda
 
Somalia is Islamic, but not Tanzania. Hata kwa sentinsi fupi kama hii utaashindwa kuelewa, itabidi tukurudishe chekechea
hili suala la hijabu na swala maeneo ya kazi na shuleni lilisimamiwa na kitwana kondo bungeni miaka ya 90 mwishoni,lishawekewa utaratibu,TBC wanachobisha nini!?..vyombo vya habari vimekuwa na tabia ya kuwavua hijab mabinti ili wapate kazi,ukiangalia kiundani ni udini tu,hakuna hoja ya msingi ya kumzuwia mtu kuvaa
 
hili suala la hijabu na swala maeneo ya kazi na shuleni lilisimamiwa na kitwana kondo bungeni miaka ya 90 mwishoni,lishawekewa utaratibu,TBC wanachobisha nini!?..vyombo vya habari vimekuwa na tabia ya kuwavua hijab mabinti ili wapate kazi,ukiangalia kiundani ni udini tu,hakuna hoja ya msingi ya kumzuwia mtu kuvaa
kuna TV nyingine zinaheshimu utu wa mwanamke, kwanini wasihamie huko?
 
View attachment 354748


Kwahiyo unataka kodi zetu zionyeshe utamaduni wa waarabu ndio utafurahi.
Wakionesha utamaduni wa wazungu haina tatizo...maana ninyi wenye utamaduni wa wazungu ndio mnalipa kodi peke yenu! Halafu hijab haifichi sura kaka bali inaficha nywele...hiyo ya kininja inaitwa nikabu!!! Hivyo usijali, hata wakivaa hijabu utaendelea waona sura zao...
 
Mkuki

Mkuki kwa Nguruwe hakuna shida which means Islamic way of Banking and Islamic way of TBC broadcasting.
One should ask, Where is National way of broadcasting?
Not all TBC viewers are Islam Religious beneficient .Tax sponsored organ should be proud of her sponsors (Tanzania national culture ) and not groups or religious.
That is, there should be a neutral cultural dress code where all Tanzanians national come together.
No alshabaab dress code. Yes to Tanzanian dress code.
Common sense recommend to review all contract signed by this Religious prompted personels.
And recommend them back to religious broadcasting stations where all freedom of alshabaab dress code is celebrated by the law.
Babu! Elewa hili...kwanza, Kisheria tanzania ni nchi isiyokuwa na dini hivyo kila mtanzania anaruhusiwa kutekeleza tamaduni za dini yake bila kumkera mwingine! Na katika kuthibitisha hilo serikali haitopaswa kumkataza mtanzania yeyote kwenda sambamba na tamaduni ya dini yake ikiwa tu uhuru wake hautaingilia uhuru wa mwingine!
Pili, Wewe ni mkristo, hebu nambie utaathirika nini ikiwa mwislamu atavaa hijabu shuleni au kazini? Na kinyume chake, asipovaa utafaidika nini? Brother, pilipili usiyoila haipaswi kukuwasha! Mind your own religion... Si busara kumchokoza simba aliyelala! Kitendo cha kuudhika/kukereka akifanyacho mtu wa dini nyingine japo hakina athari yoyote kwako ni udini! Vita ya dini/imani ni mbaya sana... Iepuke!!! Imani yangu umenielewa...
 
Back
Top Bottom