Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

kama unakumbatia sana dini kuliko kazi hebu tafuta kazi yenye mahusiano na dini yako, sasa tutashangaa kumwona msoma habari kavalia kininja mbele ya kamera
 
Kama ni kweli wameonewa. Najiuliza, hijab inatakiwa siku za mfungo tu?
 
Huwa nawashangaa sana hawa waislamu ambao ikifika mwezi mtukufu ndio wanajidai wanashika dini na kutaka kila mtu anataka awaone wao kuwa ni waislam. Huu ni ushenzi wa hali ya juu, kama wewe ni mwislamu kweli mbna usiuonyeshe uislamu wako siku zote? Ni unafki mbele za allah, wakatazwe kabisa kuvaa na ikiwezekana wafukuzwe kazi

Kweli kabisa mkuu, hawamuoni Zuhra Yunus wa BBC, daily katupia hijabu hadi imemkaa km ndo vazi lake la kila siku.
 
Matatizo haya yalianzia ktk serikali ya awamu ya pili! Kabla ya hapo hata skuli mkikaa assembly huezi kujua dini za wanafunz.Leo wakitembea njian hata ukiwa mbali unajua yule dini gani! Ya nini hayo? Dini kwani ni mavazi ama imani yako?
 
Mimi nafikiri kuvaa hijabu ni utaratibu wa heshima kwa waislamu ambao wanatakiwa kuvaa kila siku sio siku tu kwa siku maalum pekee.
Kwanini wasidai siku zote wavae kama desturi ya wacha mungu na washika dini?
Zanzibar kwenyewe kuna maeneo marufuku Hijab na huku ndio 99% ni waumini wa kiislamu!
 
Matatizo haya yalianzia ktk serikali ya awamu ya pili! Kabla ya hapo hata skuli mkikaa assembly huezi kujua dini za wanafunz.Leo wakitembea njian hata ukiwa mbali unajua yule dini gani! Ya nini hayo? Dini kwani ni mavazi ama imani yako?
Hiyo Awamu ya pili ndiyo iliyoleta balaa lililodumu mpakaleo. Watot hawako free kama wenzao hebu study ifanykejamani tuhakikishe!
 
Hijab ni vazi la staha, hivyo kwa mwanamke mwenye maadili ni chaguo sahihi kwake, ila naona ni unafki kuvaa hijab wakati wa ramadhan, mbona hawakuwa wakivaa siku zingine?
 
Mavazi ya kidini hayapo ila kuna mavazi ya stara na heshima hayo ndo huvaliwa na watu wanaomuogopa MUNGU si wengine bali ni muslim,mfumo kristo una mwisho wake.

Naona unamchukia sana Kristo kwa kuwa alikusigina tikitiki miaka 2000 iliyopita. Sasa umebaki unamsagia meno!. Afadhali ufe ili ukampe kampani baba yako kwa sababu hutaweza kumfuta Kristo. Ujue Kristo Ndiye. Yeye Alikuweko, Yuko na Ataendelea kuishi milele. Ndiye atakayewahukumu walio hai na wafu akiwemo baba yako.

Dunia nzima itahukukmiwa na Yeye na wala hakuna shetani, chuki wala upumbavu wowte wa kwako au wa baba yako utabadilisha huu ukweli!.
 
Hilo ni kosa kubwa kubagua watu kutokana na dini. Waislam wafuate sheria zao pahala pa kazi wote tunaweza kufanya kazi kwa pamoja bila kuingiliana.
 
Hilo ni kosa kubwa kubagua watu kutokana na dini. Waislam wafuate sheria zao pahala pa kazi wote tunaweza kufanya kazi kwa pamoja bila kuingiliana.

Hakuna maswala ya dini wala mila sehemu za kazi. Unafuata taratibu za mwajiri siyo wewe unataka mwajiri akufuate. Period!
 
TA1A5007.jpg

Baadhi ya Makamanda na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakipata mlo katika Kambi ya JKU (Jeshi la Kujenga Uchumi) katika kuwapongeza kufanikisha sherehe za miaka 50 za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Sherehe hiyo iliandaliwa na Rais wa Zanzibar Dr. Shein ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar.
 
Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM), Wanawake, kikipita mbale ya Rais Dk. Shein kwa gwaride la mwendo wa pole, katika sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Uwanja wa Amaan, Unguja leo.
 
TA1A5007.jpg

Baadhi ya Makamanda na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakipata mlo katika Kambi ya JKU (Jeshi la Kujenga Uchumi) katika kuwapongeza kufanikisha sherehe za miaka 50 za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Sherehe hiyo iliandaliwa na Rais wa Zanzibar Dr. Shein ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar.

Hahahahahahahaaaaa..."..majanga.
 
Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Wanawake kikipita mbele ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa pole,katika sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko Uwanja w Amaan Studium, Mjini Zanzibar leo.
 
Back
Top Bottom