Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna waislamu wanavaa hizo mini na suruali mkuu! How come wanavaa nguo za kikristo?Mbona wakristo wakivAa mavazi yao y kidini (vimini, suruali nk) wanaachiwa??
Huwa nawashangaa sana hawa waislamu ambao ikifika mwezi mtukufu ndio wanajidai wanashika dini na kutaka kila mtu anataka awaone wao kuwa ni waislam. Huu ni ushenzi wa hali ya juu, kama wewe ni mwislamu kweli mbna usiuonyeshe uislamu wako siku zote? Ni unafki mbele za allah, wakatazwe kabisa kuvaa na ikiwezekana wafukuzwe kazi
Hata kuendesha gari na makobazi ni marufuku. Sijui hii kule visiwani imekaaje!
Zanzibar kwenyewe kuna maeneo marufuku Hijab na huku ndio 99% ni waumini wa kiislamu!Mimi nafikiri kuvaa hijabu ni utaratibu wa heshima kwa waislamu ambao wanatakiwa kuvaa kila siku sio siku tu kwa siku maalum pekee.
Kwanini wasidai siku zote wavae kama desturi ya wacha mungu na washika dini?
Hiyo Awamu ya pili ndiyo iliyoleta balaa lililodumu mpakaleo. Watot hawako free kama wenzao hebu study ifanykejamani tuhakikishe!Matatizo haya yalianzia ktk serikali ya awamu ya pili! Kabla ya hapo hata skuli mkikaa assembly huezi kujua dini za wanafunz.Leo wakitembea njian hata ukiwa mbali unajua yule dini gani! Ya nini hayo? Dini kwani ni mavazi ama imani yako?
Thanks madame Patience123!Umesema vyema broda..
Hio tuu ndo umeona kweli baba jesca aliposema vilaza ni wengi, hakukosea [emoji84]A nun is not under the gun, she will never be stoned to death by failing to wear hijab
Mavazi ya kidini hayapo ila kuna mavazi ya stara na heshima hayo ndo huvaliwa na watu wanaomuogopa MUNGU si wengine bali ni muslim,mfumo kristo una mwisho wake.
Hilo ni kosa kubwa kubagua watu kutokana na dini. Waislam wafuate sheria zao pahala pa kazi wote tunaweza kufanya kazi kwa pamoja bila kuingiliana.
![]()
Baadhi ya Makamanda na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakipata mlo katika Kambi ya JKU (Jeshi la Kujenga Uchumi) katika kuwapongeza kufanikisha sherehe za miaka 50 za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Sherehe hiyo iliandaliwa na Rais wa Zanzibar Dr. Shein ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar.