Watangazaji wa kizazi hiki wanakera mpaka basi. Hivi wanaokotwa wapi hawa viumbe?

Tanzania haijawahi kuwa na waandishi wa habari bali ni makanjanja na wababaishaji,wavivu wa kufikiri na kutafiti.
Mwandishi wa habari anatakiwa awe mtafiti na mfuatiliaji wa Mambo kiujumla,ili awe anaibua na kuufahamisha umma usioyafahamu na sio umma ndiyo umfahamishe!
Kuna vituko vingi vimejiri kiasi Cha kujiuliza hawa waandishi huwa wanajipa muda wa kujiridhisha kabla ya kuandika habari ?
Nakumbuka 2003 walimuandika Ammy Ninje anacheza ligi daraja la pili Uingereza nilikuwa nikiangalia sky nacheka Sana!
 
Hii nchi hivi Sasa ni ya maigizo tu kila idara, ndo maana inakata kona Mpaka twasikia kizungu zungu, hawajiheshimu waongo, wajuaji Lakin I awajui kitu
Basi tu tuwaachie nchi Yao vijana
 
Salum mwalim alipokuwa dtv ndiyo
Alimuingizaga eddo kumwembe
Alikuwa wanamuita anachambua ligi ya uingereza,wanamdakisha 40000-50000,Edd9 akajiongeza kdg
Ndiyo hivyo

Ova
 
Salum mwalim alipokuwa dtv ndiyo
Alimuingizaga eddo kumwembe
Alikuwa wanamuita anachambua ligi ya uingereza,wanamdakisha 40000-50000,Edd9 akajiongeza kdg
Ndiyo hivyo

Ova
Shule hakuna pale ujanja mwingi tu. Yeye na Kitenge hakuna kitu. Mpe script ya kiingereza Kitenge akusomee ndio utajua ujinga wake.
 
Kwa matumizi ya r na l ni tatizo la watanzania wengi na linaanzia shuleni pale anayefundisha(mwalimu)naye hajui kutofautisha r na l.Lakini kupungua kwa wasikilizaji wa radio inatokana na urahisi wa kupata taarifa kupitia simu janja
 
Kwa matumizi ya r na l ni tatizo la watanzania wengi na linaanzia shuleni pale anayefundisha(mwalimu)naye hajui kutofautisha r na l.Lakini kupungua kwa wasikilizaji wa radio inatokana na urahisi wa kupata taarifa kupitia simu janja
Mother Tongue...., Ingawa Kiswahili ni lugha ya Taifa lakini bado Makabali yana-affect matamshi..., Kama vile mzungu akiongea Kiswahili anachapia au mchina akiongeza kingereza n.k.

Ingawa kama kitendea kazi chako ni kuongea basi kama una kigugumizi, kithembe sauti ya kukera n.k. inabidi utafute kazi nyingine..., Ila kama una sauti ya kubembeleza na kumtoa nyoka pangoni kazi tutakupa tu..., hayo mambo mengine ya ujuzi na ufahamu na kufanya research kuna watu wapo watakufanyia (Presenter uta-present tu)...
 
Kweli kabisa. Ndio maana comrade Mkapa alikuwa hapendi kuhojiwa na hawa vilaza.
 
Kutana na watangazi nguli wa RTD ambao kila mmoja alifurahia kuwasikiliza wakitangaza. Zamani tulikuwa na watangazaji weledi sana.

Your browser is not able to display this video.
 
Juma lokole&Co ltd mtangazaji hapo unategemea nini?

Ova
 
We mtu kazaliwa 2010 leo anapewa kipindi amfanyie mtu interview wakati hajuwi anasema nini au kuuliza nini, unafikiri nini kitakachojiri?
 
Juma lokole&Co ltd mtangazaji hapo unategemea nini?

Ova
Ila hawa wamiliki wa redio sijui wanatuonaje aisee. Eti akina Mwijaku nao ni watangazaji! Wanachekesha sana 😀 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…