Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli mbona kuna degree za mass communicationsifa za kuwa mwandishi wa habari lazima uwe ulifeli kidato cha nne, unategemea utapata mwandishi wa habari au comedian, angali hatuna hata chombo cha habari chenye tija, kwa nchi na taifa letu ni makelele ya mpira kutwa kuchwa. hakuna tafiti, uchunguzi na upuuzi.
sijui nani ameturoga dah
Kama hujui tofauti ya neno maada na mada unadhani kuna jingine la maana naweza kuondoka nalo?Hiki ndicho umeondoka nacho humu?
Inasikitisha sanawasikilizaji wapumbavu ambao ni asilimia 90 ya Watanzania wote yes.