Watangazaji waliokuwa wanamuhoji Ruto, Tanzania hatutowapata wa kiwango kile daima

Yale mawali waliyokuwa wanambananisha hakuna hata mmoja angemuuliza rais samia au magufuli

Ruth ni mvumilivu sana mana angeweza hata kujisahau kama ni rais na kuanza kurusha ngumi
 
Tanzania hakuna waandishi wa habari. Kuna makada wa ccm na machawa wa simba na yanga wanaozungumza kila siku kwenye media
 
Siyo kweli mbona kuna degree za mass communication
yule tido mhando alikuwa na degree?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…