Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Off course sio lugha yao ya asili ni ya mkoloni. Kule uingereza na Marekani ni aibu zaidi, watangazaji karibu wote hawajui kiswahili.....
off course nyanjo
of course tick
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Off course sio lugha yao ya asili ni ya mkoloni. Kule uingereza na Marekani ni aibu zaidi, watangazaji karibu wote hawajui kiswahili.....
Radio za kiswahili Hawatakiwi kuzungumza kingereza...
Off course sio lugha yao ya asili ni ya mkoloni. Kule uingereza na Marekani ni aibu zaidi, watangazaji karibu wote hawajui kiswahili.....
Kama hawatakiwi basi wasizungumze. Ila kwa kweli ni vema kuwahimiza vijana wajifunze kiingereza kwani wanaongeza fursa zaidi za ajira huo ndio ukweli la sivyo wanaweza amini baadhi wanapendelewa kumbe tu wamepata fursa kwa sababu ya kuwa na lugha zaidi ya moja. Aidha si kama miaka ya nyuma angalau sasa hivi kuna sehemu za kujifunza/ kujinoa hiyo lugha ya kiingereza, wa sacrifice matumizi mengine wajifunze kuongeza FURSA!Umejibu muruwaa The BOSS
bora uwaeleze maana ubishi umewajaa tuKama hawatakiwi basi wasizungumze. Ila kwa kweli ni vema kuwahimiza vijana wajifunze kiingereza kwani wanaongeza fursa zaidi za ajira huo ndio ukweli la sivyo wanaweza amini baadhi wanapendelewa kumbe tu wamepata fursa kwa sababu ya kuwa na lugha zaidi ya moja. Aidha si kama miaka ya nyuma angalau sasa hivi kuna sehemu za kujifunza/ kujinoa hiyo lugha ya kiingereza, wa sacrifice matumizi mengine wajifunze kuongeza FURSA!
Off course sio lugha yao ya asili ni ya mkoloni. Kule uingereza na Marekani ni aibu zaidi, watangazaji karibu wote hawajui kiswahili.....
HaHahahaha jf raha!Off course sio lugha yao ya asili ni ya mkoloni. Kule uingereza na Marekani ni aibu zaidi, watangazaji karibu wote hawajui kiswahili.....
Huwa nawasikia. Kwa kiswahili kizuri (si fasaha) hawajambo. Tatizo huja pale wanapotamka maneno ya kingereza, ni aibu. Nashauri waajiri wawe wanatilia maanani hii lugha pia maana hao watangazaji wanaaibisha taaluma zao.
Off course sio lugha yao ya asili ni ya mkoloni. Kule uingereza na Marekani ni aibu zaidi, watangazaji karibu wote hawajui kiswahili.....
naona kuna baadhi ya watangazaji walipitia hii post. Nawasikia wanajitahidi kweli kuongea kingerezaKweli kabisa.Na pia mi najiuliza,kwa nini kwenye tuongee magazeti wanapofika gazeti la kiingereza wana litafsiri kiswahili wakati wasomaji ni wanaojua kiingereza,hivi mzungu kwa mfano ataelewaje ukimtafsiria kiswahili au hawataki wanunue au ndo kuogopa kuchapia?
Nimeipenda hii. Bado kuna watu wanatawaliwa vichwani mwao.
kwa biashara ya utangazaji kujua kingereza ni jambo la lazima....hasa katika nchi masikini kama hii
Huwa nawasikia. Kwa
kiswahili kizuri (si fasaha) hawajambo. Tatizo huja pale wanapotamka
maneno ya kingereza, ni aibu. Nashauri waajiri wawe wanatilia maanani
hii lugha pia maana hao watangazaji wanaaibisha taaluma zao.
Ishu si kuongea kingereza, bali kujua kingereza kwa ufasaha. Wapo ambao husema maneno ya kingereza redioni wakajikuta wanachemka vibaya. Ni bora wabaki kwenye kiswahili mwanzo mwosho kama lugha za watu hawazijui vizuriKwani ni lazima waongee kiingereza kama asilimia 80 ya wasikilizaji wao ni watumiaji wa kiswahili?