Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Unakuta mtangazaji Kwa kujiamini kabisa anatamka BALE(Kiswahili) badala ya beil. Au Lesesta(Leicester) badala ya kusema leista.
Leo nimemsikia mtangazaji gwiji wa michezo anatamka Brighton HoVE Kiswahili hove. Hii timu inaitwa Brighton & Hove(inatamkwa hov(u). Hii timu ipo mji unaitwa Brighton and Hove City mji uliopatikana Kwa kuunganisha mji wa Brighton na Hove.
"Wulvs" bosi ama "wulvhampton" nimetumia njia mbadala kurahisisha. Kwa msaada zaidi tafuta Kamusi ya Oxford.Hivi wolves inatankwaje?
Bado sijaona kosa,kujaribu kutamka neno kwa lafudhi ya kingereza au kifaransa au kihispania kunaweza kupoteza maana ya neno,mfano aliyekuwa kocha wa man u anaitwa jose lkn wenyewe wanaita hozee,na bado kuna watu wanaitwa jose ila huwezi mwita hozee akakuelewa,,,laurent mfaransa atasema loraa na wewe mswahili unasema loraa (kifaransa)"Wulvs" bosi ama "wulvhampton" nimetumia njia mbadala kurahisisha. Kwa msaada zaidi tafuta Kamusi ya Oxford.
Duuuh!Kuna matako mmoja yuko Generation FM alikuwa anasema "boss wa cash money butt man amekutana club na Lil Wayne"
Hapo kwenye butt man alikua anamaanisha Birdman.
Arsenali,Evatoni,LivepuliUnakuta mtangazaji Kwa kujiamini kabisa anatamka BALE(Kiswahili) badala ya beil. Au Lesesta(Leicester) badala ya kusema leista.
Leo nimemsikia mtangazaji gwiji wa michezo anatamka Brighton HoVE Kiswahili hove. Hii timu inaitwa Brighton & Hove(inatamkwa hov(u). Hii timu ipo mji unaitwa Brighton and Hove City mji uliopatikana Kwa kuunganisha mji wa Brighton na Hove.
πππKuna matako mmoja yuko Generation FM alikuwa anasema "boss wa cash money butt man amekutana club na Lil Wayne"
Hapo kwenye butt man alikua anamaanisha Birdman.
Kweli kabisa, mtu kama mtangazaji kama huangalii taarifa BBC,Al Jazeera,Sky unaishia kuangalia Sultan ningumu kujifunzaMajina mengine unajifunza kwa kusikiliza wenye majina yao. Mfano Hughes inatamkwa Hyuz sasa utasikia mtangazaji anatamka hugiz/hagiz/hagez
"Vihi'nadam"Huyu sijui huwa wanatamkaje "Wijnaldum"
[emoji124][emoji124][emoji3][emoji3]
Bolo Yeoung ni Mkorea Kusini Sio Mjapani......Wajapani majina yao hayana tofauti sana na Wabantu.Wajapani waliligundua hili ndo maana majina yao yote yana vowels. Tanakuwa mepesi kutamka
Mfano.
Honda
Yamaha
Toyota
Nagasaki
Kiyosaki
Shinji Kagawa
Bolo Young (young ni kingereza lakini hilo bolo ni la kijapani)
Damn! Sol "Kembo"Utasikia mtangazaji wa TV wa Bongo akisema, "Yule supermodel wa Uingereza, Naomi Kampbeli..."
Duuuh, majanga!
Naomi Campbell [tamka= Naomi Kembo]
Kupata alama pungufu baada ya kuhitimu elimu ya kiwango fulani isiwe sababu jamani. Kuna kujiongeza pia. Matumizi ya smart phones, tv na redio vinasaidia sana kwenye taaluma ya habari. Kuuliza pia sio ujinga. kama hujui, huna uhakika unaweza kuuliza hata huku JF na utasaidika na kujifunza. Uvivu unachangia kwa asilimia kubwa.Sasa kama iliishia form 4 ya div 4 unatagemea huyo ndugu yako atatamkaje hayo maneno na hata kujua vichache tu kuhusu hayo mambo anayoyatangaza??
Chuo chenyewe kasoma Ilala Bungoni au Eagle kwa miezi 6 sasa kuna kipya unakitarajia hapo??
Jana nimemsikia mmoja ktk kipind cha michezo akidai Tottenham wamekiwakisha katika jiji la Ajax walipocheza na Ajax, nikajiuliza anataka kusema walicheza kule Canada ambako katika jiji la Ontario kuna town inaitwa Ajax?