Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wainadamHuyu sijui huwa wanatamkaje "Wijnaldum"
[emoji124][emoji124][emoji3][emoji3]
Kama ningekuwa mtangazaji ningehakikisha natafuta matamshi sahihi.Hao wa huko wanatamkaje Mwanza, Morogoro? Kigurunyembe? Nk nk? Kama haukai huko utajuaje kuwa inatamkwa hivyo? Haifundishi darasani hapa Tanzania hiyo! Yale yanayofundishwa darasani hapa Tanzania, wanajua jinsi ya kuyatamka. Utajuaje kuwa Gaborone inatamkwa "Haborone" kama hujawahi kuishi ama kufika Botswana?
Kama ni mpenzi wa mpira utagundua hata Waingereza wanatamka AyaxNadhani wewe pia huelewi matamshi halisi yanatokana na lugha halisi.KISHWAHILI UTATAMKA AJAX WENYEWE WOHOLANZI WANATAMKA AYAX.MFANO MSUKUMA AKITAMKA MASANJA NI TOFAUTI NA MZUNGU.ILA UNATAKIWA UJITAHIDI UTAMKE KAMA WENYEWE.
I sense inferiority complex[emoji16] kiswahili ni lugha kubwa dunia hii naomba kuanzia leo ujivunie hiloSisi ndio wenye shida na wao mara kutwa kucha tunazungumzia habari zao na kutaja majina yao.. Kuanzia Ligi ya UK mpaka ya Urusi... Wao hawana shida na sisi maana kama mpira hawaangalii wa kwetu na wala hawafuatilii habari zetu mbaya zaidi wakija kwetu kuchimba dhahabu mkataba unaandikwa tena kwa kiingereza chao....
Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu zenye maana na zilizokubaliwa na jamii ya watu fulani ili zitumike katika kuleta mawasiliano.Unakuta mtangazaji Kwa kujiamini kabisa anatamka BALE(Kiswahili) badala ya beil. Au Lesesta(Leicester) badala ya kusema leista.
Leo nimemsikia mtangazaji gwiji wa michezo anatamka Brighton HoVE Kiswahili hove. Hii timu inaitwa Brighton & Hove(inatamkwa hov(u). Hii timu ipo mji unaitwa Brighton and Hove City mji uliopatikana Kwa kuunganisha mji wa Brighton na Hove.
Kama huoni kusudi si ungepita kimya tu. Maelezo meeeengi OP.Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu zenye maana na zilizokubaliwa na jamii ya watu fulani ili zitumike katika kuleta mawasiliano.
Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu kwa sababu zilitokea kama bahati tu kwa binadamu. Hakuna lugha bora zaidi duniani, kwa kuwa lugha zote zina ubora, mradi zikidhi matakwa ya jamii husika.
Kusudi kuu la lugha ni kuwasiliana na kuelewana, na sio kupimana uwezo wa kujua mambo, huwezi mlazimisha mreno aongee kichaga kama mchaga anavyoongea kichaga.. mimi sioni kusudi lako kuandika uzi huu.
Nashukuru umesoma na kureply, Kama yangekua OP ungepita kimya tu pia.Kama huoni kusudi si ungepita kimya tu. Maelezo meeeengi OP.
Hii inanikera sana mimi. Mwandishi wa habari anapaswa kujifunza kuandika sawasawa na kutamka sawasawa majina ya watu/vitu/nchi/miji n.k. Angalau zamani tulijifunza hayo shule za msingi.Unakuta mtangazaji Kwa kujiamini kabisa anatamka BALE(Kiswahili) badala ya beil. Au Lesesta(Leicester) badala ya kusema leista.
Leo nimemsikia mtangazaji gwiji wa michezo anatamka Brighton HoVE Kiswahili hove. Hii timu inaitwa Brighton & Hove(inatamkwa hov(u). Hii timu ipo mji unaitwa Brighton and Hove City mji uliopatikana Kwa kuunganisha mji wa Brighton na Hove.
Wanakera kinoma utafikiri hawana hata maboss wanaojua mambo. Kuna jamaa wa Sibuka FM huwa anatangaza mechi huwa anajidai anajua sana na mbwembwe kiabo ila UTI anaitamka "yutihai"Unakuta mtangazaji Kwa kujiamini kabisa anatamka BALE(Kiswahili) badala ya beil. Au Lesesta(Leicester) badala ya kusema leista.
Leo nimemsikia mtangazaji gwiji wa michezo anatamka Brighton HoVE Kiswahili hove. Hii timu inaitwa Brighton & Hove(inatamkwa hov(u). Hii timu ipo mji unaitwa Brighton and Hove City mji uliopatikana Kwa kuunganisha mji wa Brighton na Hove.
Haswa, ni sawa na ilivyo Badagry (Nigeria) na Gorée (Senegal) au Elmina Castle (Ghana) kwa watumwa waliosafirishwa magharibi....Hilo eneo la Bwagamoyo lilikuwa na maana yake na hilo neno, yaani watumwa wote walokuwa wakifika hapo kutokea bara waliambiwa wabwage mioyo yao hapo.
Ilikuwa ni sehemu ya kuaga Afrika kwenda utumwani huko uarabuni
Hivi wolves inatankwaje?
Sio wolviz?
Kwan ikiwa hivi utasemaje "Wolverhampton"
Au unakuta anatamka kwa kujiamini kabisa "chensii"Utashangaa mtu kabisa yupo on air anasema "Liverpool majogoo wa London"
Pathetic