Watani acheni mzaha, deni la ATCL bilioni 472.8B??? Mbona kama mlikurupuka kwenye hii biashara

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hamkutulia mfanye utafiti nini tija ya hii biashara na namna gani inaendeshwa, mkawakuta Fastjet na kuwatupia nje....yaani deni lote hili mbona linatia kiwewe...na bado mnasubiri mindege ije.

stop your joke, ungejua wenzetu wakoje wala msingelishikia kidedea hilo deni. Mwaka jana Kenya Airways walikuwa na accumulated loss $330m sawa na Tshs 759billion wakati Wanyarwanda shirika lao lilikuwa na accumulated loss ya USD 399.o5 mwaka 2019 sawa Tshs. 917Billion. nadhani baada ya maelezo hayo akili itawakaa sawa pamoja na wabunge wenu fake
 
Nyie mumeamsha shirika juzi na kuanza kuongeza madeni na hasara kwa mabilioni, hamkujifunza kwa mliowakuta, palikua na haja gani ya kukurupuka....
 
stop your joke, ungejua wenzetu wakoje wala msingelishikia kidedea hilo deni. Mwaka jana Kenya Airways walikuwa na accumulated loss $330m sawa na Tshs 759billion wakati Wanyarwanda shirika lao lilikuwa na accumulated loss ya USD 399.o5 mwaka 2019 sawa Tshs. 917Billion. nadhani baada ya maelezo hayo akili itawakaa sawa pamoja na wabunge wenu fake
Now that you've mentioned profits and losses, hebu tuambie shirika lenu la ATCL imetengeneza faida ya shilingi ngapi mwaka huu
 
Hamkutulia mfanye utafiti nini tija ya hii biashara na namna gani inaendeshwa, mkawakuta Fastjet na kuwatupia nje....yaani deni lote hili mbona linatia kiwewe...na bado mnasubiri mindege ije.

Mtuache.......haiwahusu........
 
Back
Top Bottom