Bro na umri wako lakini umeongea kwa hisia zaidi na kumtukana marehemu, nimeamini tunatofautisha mtu mmoja na mwingine sio kwa umri bali maarifa, ulichoandika ni pumba ni bora ungewapatia kuku wale kuliko kuziweka hapa, unajishushia hadhi yako...
Wewe katika maisha yako hujawahi kupata hasara kwenye biashara, hujawahi kufeli? ili kufanikiwa lazima uwe risk taker mzee...
Kampuni nyingi saaana duniani zilishafungwa na kutaifishwa kwa sababu biashara ni risk taking mzee...
Elon Musk kuna kipindi ali invest akayumba sana kiuchumi mpaka ikaleta tafrani yeye na mkewe, Musk alichosema ni kwamba anacheza karata yake ya mwisho akifeli yupo radhi akapate hifadhi kwenye kwao na mkewe hata akikaa gereji, wife aliomba waachane akijua jamaa anapotea, jamaa akaona sio kesi, huyo akampa talaka, sasa hivi yupo wapi...
Wewe na ushamba wako unafikiri biashara ni kama kushinda humu jf kuchat...
Ok kampuni gani 2019,2020 wameingiza faida, kampuni gani kubwa ya airline imepata faida, acha siasa za Chadema na chuki... kwenye fact ongea fact sio ooohh mwendazake, sijui dhalimu, wewe haikusaidii kitu...
Sasa unavyotudhalilisha kwa hawa wala Sukuma na mirungi ndio unafikiri watakuona smart? wanakuona unajipendekeza tu!!!
eliakeem na
Hoshea huyu bro mnamuelewa kweli?