NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
'Tunanunua kwa Hera zetu wenyewe'😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege zetu zinamilikiwa na serikali siyo atcl ambayo ilikuwa na madeni ya kifisadi yaliyo sababishwa na kikwete na mkapa kabla hata ya kununua ndege mpya ndiyo maana ndege zetu zimewekwa chini ya umiliki wa serikaliNow that you've mentioned profits and losses, hebu tuambie shirika lenu la ATCL imetengeneza faida ya shilingi ngapi mwaka huu
Samahani mkuu KQ bado ipo?Lengo lao kuu lilikuwa ni kushindana na tembo kunya. Hayo sasa ndio maumivu ya shughuli yenyewe, kama walivyonena wazee wa Ndemi na Mathathi.
Nyie ambao hamjakurupuka mbona loss daily?Nyie mumeamsha shirika juzi na kuanza kuongeza madeni na hasara kwa mabilioni, hamkujifunza kwa mliowakuta, palikua na haja gani ya kukurupuka....
Hamkutulia mfanye utafiti nini tija ya hii biashara na namna gani inaendeshwa, mkawakuta Fastjet na kuwatupia nje....yaani deni lote hili mbona linatia kiwewe...na bado mnasubiri mindege ije.
Hamkutulia mfanye utafiti nini tija ya hii biashara na namna gani inaendeshwa, mkawakuta Fastjet na kuwatupia nje....yaani deni lote hili mbona linatia kiwewe...na bado mnasubiri mindege ije.
Angalia historia ya KQ it has been profitable for a long time before loss making, ATCL has never made a single profit since inceptionNyie ambao hamjakurupuka mbona loss daily?
Wengi tulimwambia yule dhalimu mwendazake kwamba kununua ndege si kipaumbele cha Watanzania. Kwanza Watanzania wengi wana vipato vya chini hawawezi kumudu gharama kubwa za kusafiri kwa ndege hivyo zitakuwa zinasafiri empty. Pili biashara ya ndege duniani kote ni ngumu sana ni mashirika machache duniani ndiyo yanatoboa na kuingiza faida kila mwaka. Mbali na hilo deni la 473 billions hasara kwa miaka mitano tangu 2016 ni 354 billions au sawa na 71 billions kila mwaka. Kwa kuwa alikuwa na PhD fake alijiona anajua kuliko yoyote yule hivyo AKAKURUPUKA.
Kwavile mlishawahi kupata faida ndio mna haki ya kuwasema vibaya wenzenu?, hiyo KQ ishukuru EAC baada ya kuiibia ndege zakeAngalia historia ya KQ it has been profitable for a long time before loss making, ATCL has never made a single profit since inception
Bro sometimes sijui unakuwaje??
Nani aliyekuambia mashirika ya ndege lazima yafanye faida. Kwenye biashara ya ndege hatutegemei kuwa na financial viable venture. Tunategemea kuwa na economical one. Kule kuzunguka huku na huku kunaitangaza nchi nje kwa sekta zingine kama watalii, wawekezaji, wafanyabiashara, wanamichezo, n.k. Uliza SAA kwa mwaka nchi inaitengea kiasi gani ili liendelee kufanya kazi. Hapoawali akina Julius walikuwa wakipiga kelele za bila kujua, lknwalivyoeleweshwa sasa nao wanapitisha bajeti ya shirika lao la ndege kwa roho safi.
Siyo lazima investor apate faida ya venture yake kwa kutoka user payments. Sometimes wanatumia avenue inayojulikana availability payment. Yaani serikali inatenga kiasi fulani katika bajeti zake ili kuendesha shirika. Wewe ina maana hujawahi sikia government subsidy!!!?Una akili sawa sawa wewe? Shareholders gani mpuuzi awekeze pesa zake chungu nzima kisha kila mwaka hakuna faida?
Unless your plan is to keep making loses, an enterprenuer huventure kwa biashara kumake profits, nyinyi yenyu ni full loses hata kubreak even hamkai anytime soon.Mambo ya EAC ni ngumu you were not supporting your end of the bargainKwavile mlishawahi kupata faida ndio mna haki ya kuwasema vibaya wenzenu?, hiyo KQ ishukuru EAC baada ya kuiibia ndege zake
Siyo lazima investor apate faida ya venture yake kwa kutoka user payments. Sometimes wanatumia avenue inayojulikana availability payment. Yaani serikali inatenga kiasi fulani katika bajeti zake ili kuendesha shirika. Wewe ina maana hujawahi sikia government subsidy!!!?
Government subsidies katika nchi maskini kama yetu ambayo huduma zote muhimu elimu, afya, barabara, maji, umeme, mishahara ni below par kwa miaka 60 ya uhuru sasa kisha Serikali iendelee kuweka billions za walipa kodi shimoni mwaka hadi mwaka!? Unadhani kwanini waliomtangulia yule dhalimu mwendazake hawakuona umuhimu wa kuifufua ATCL na hivyo kuamua KUACHANA NAYO!?
Huo ni mtazamo wako tu.
Siyo lazima mpaka uwe umejitosheleza kwa vyote hivyo ulivyotaja, ndiyo uanze kufikiria ndege. Kumbuka, ndege ndiyo msingi wa utalii, na utalii ni miongoni mwa vyanzo vikubwa vya ndani vya mapato. Air Tanzania ni itachagiza ukuaji uchumi, licha ya kuwa haitatengeneza faida ya kifedha.
😂😂😂😂😂 kwa hiyo wewe kwako kutumia billions za walipa kodi mwaka hadi mwaka na kuishia kupata hasara ya 71 billions ni sawa tu? Siyo msimamo wangu wewe! Watangulizi wa dhalimu mwendazake waliliona hilo ndiyo sababu wakaachana na upuuzi wa ATCL ba Watanzania wengi leo wakipewa data zote husika za tangu 2016 watakataa kata kata pesa zao ziendelee kutumbukizwa kwenye hilo shimo refu.
Unajua shida ya walio wengi wanaangalia hii biashara kwa mtazamo wa ukiweka 100 upate 140. lkn kwa biashara kama hizi unaangalia how other sectors of the economy positively impacted by the venture. Na shida iliyopo ni kuwa hakuna mtu mwenye mamlaka ambaye anaweza kulifafanua hilo kwa mapana yake. Matokeo yake, wengi wanapewa taarifa nusunusu za upande wa matumizi ya kifedha tu.
Ni UPUUZI MTUPU kwa nchi masikini kuchezea billions/trillions za walipa kodi kuendesha shirika kwa hasara kubwa kiasi hicho hasara ambayo itaongezeka mwaka hadi mwaka kutokana na ongezeko la ndege ambazo zinasafiri chini ya ujazo wake kati ya 50% hadi 80% karibu katika safari zake zote.