Watani acheni mzaha, deni la ATCL bilioni 472.8B??? Mbona kama mlikurupuka kwenye hii biashara

stop your joke, ungejua wenzetu wakoje wala msingelishikia kidedea hilo deni. Mwaka jana Kenya Airways walikuwa na accumulated loss $330m sawa na Tshs 759billion wakati Wanyarwanda shirika lao lilikuwa na accumulated loss ya USD 399.o5 mwaka 2019 sawa Tshs. 917Billion. nadhani baada ya maelezo hayo akili itawakaa sawa pamoja na wabunge wenu fake
 

Nyie mumeamsha shirika juzi na kuanza kuongeza madeni na hasara kwa mabilioni, hamkujifunza kwa mliowakuta, palikua na haja gani ya kukurupuka....
 
Now that you've mentioned profits and losses, hebu tuambie shirika lenu la ATCL imetengeneza faida ya shilingi ngapi mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…