Only a backward person will think kama wewe ..why selling ??..najua zimepiga loss ..so ? other airlines duniani over 90 percent make loss. .kikubwa ATC ina management nzuri ya kutumia hizo equipment .? hilo ndo swala la kujiuliza...
African continet is still backward interms of Air network connectivity...price ya kwenda Congo via Addis ni sawa labda na ya kwenda istanbul...
We still need connections and better prices ..hivyo lazima ku invest kwenye airline business ...shida inakuja kwenye management ..tukiwa na managment nzuri basi shirika litaweza hata ku break even.
Hata hvyo airline business sio a profitable business ( i mean direct profits) yenyewe ina impact kwenye uchumi wa nchi na hicho ndo tunachotarajia kuona...
ATC inapitia changamoto za hapa na pale pamoja na covid..kufanya usafiri wa anga kupungua bado inapambana ..kiufupi managment waendelee kuboresha huduma na wawe innovative
btw ndege zote za atc zinatembea as of september .ndege zote 9 ..sitegemei nione porojo eti ndege haitembei while zinatembea
Nimekuweka proove hapo chini
View attachment 1923029View attachment 1923030View attachment 1923031View attachment 1923032View attachment 1923033View attachment 1923034View attachment 1923035View attachment 1923036View attachment 1923037